Serikali na wadau mbalimbali tusisubiri majanga.

Eraldius

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
1,120
906
Kama serikali ,wafanya biashara,na wafanyaka kazi kutoka sehemu tofauti mliweza kuonyesha hisia na upendo juu ya msiba wa ndugu yetu aliyetutoka Mar.Steven C.Kanumba (R.I.P).Sasa nawaomba kwapamoja tuonyeshe kwa mchango wa hali na mali kwa msanii ndugu yetu anayeumwa ndugu Juma Kilowoko{Sajuki}. GET WELL SOON SAJUKI. Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom