Jk kutoa list ya wakuu wa mikoa na wilaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk kutoa list ya wakuu wa mikoa na wilaya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uliza_Bei, May 5, 2012.

 1. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Baada ya kuteua baraza la mawaziri Mkuu sasa anakuja na list mpya ya wakurugenzi na wakuu wa mikoa&wilaya. Source: Abbas Kandoro (mkuu wa mkoa-mbeya) tena amesema yule wa Mbozi sasa hayumo. My take: JK himahima maliza na hili ili wasaidiane na mawaziri wapya kuondoa ufisadi na uzembe kazini
   
 2. Kingmairo

  Kingmairo JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4,977
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  Kayasemea wapi hayo huyu kandoro? Bado ni tetesi hii
   
 3. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,718
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 160
  Wakuu wa Mikoa wa wapi ndugu? Au Zenji? Hahahaaaaaaaaaaa kweli umetoka usingizini.
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  wewe si kwamba umetoka tu usingizini bali bado upo usingizini tena usingizi fofofooooooooo!
  wakuu wa mikoa na wilaya kutangazwa punde source RC Mby kupita TBCCM Habari leo saa 2uck
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Huko ni kutapatapa tu kwani kushindwa ni kushindwa tu kwani kila mmoja ni kujichukulia chake mapema so anazidi kutuongezea majanga tu!
   
 6. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kandoro kasema hata mi nimemsikia kuwa mkuu wa wilaya ya mbozi kachia madaraka bada kuona hayupo kati ya wateule
   
Loading...