Airtel wamekuwaje tena?

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Mtandao wa simu wa Airtel toka jana jioni network hamna hapa wilaya ya Maswa,tatizo nini jamani au mmeisha bweteka kwa kuwa mna wateja wengi?Tunaomba mafundi walitafutie ufumbuzi hili tatizo.
 
Tatizo sio Airtel, tatizo huu ni msimu wa Wasukuma kucheza na fisi, wamekata network ili mkashiriki ngoma

Duu,ina maana fisi anaweza kusabisha network ikate,hii kali ndo nimeisikia leo,kweli jf ni kila kitu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom