Nijuvisheni juu ya jambo lifuatalo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nijuvisheni juu ya jambo lifuatalo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Graph Theory, Mar 20, 2012.

 1. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Kwa nini katika kalenda, siku ya jumapili inakuwa imewekewa rangi nyekundu, hii ni jina pamoja na tarehe zote zinazoangukia siku hiyo. Maana rangi nyekundu mara nyingi inawakilisha damu, je ina maana siku hii ni ya kumwaga damu? Au huko zamani kuna mtu maarufu aliuawa siku hiyo? Msaada jamani kutoka kwa yeyote anayefahamu.
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Wewe umeshaona kwa kuwekewa red tayari imeshakuwa siku ya umwaaji damu? Mimi nadhani umwagaji damu ni kitendo na si rangi.
   
 3. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Rangi nyekundu ni alama ya UPENDO, na kwa hili wabongo wengi sasa hivi wanalijua. Ndiyo maana kwenye matukio ya kuonyesha upendo wengi wanatumia alama nyekundu: mavazi au maua mekundu.

  Jumapili kwa Wakristo ni siku ya BWANA (Mungu). Mungu anayehubiriwa na Wakristo ni MUNGU WA UPENDO. Soma: (And we have known and believed the love that God hath to us. GOD IS LOVE; and he that dwelleth in love dwelleth in God, and God in him. - 1 John 4:16 KJV).

  Amri ya Mungu inayoseme: "Shika kitakatifu siku ya Mungu" kimsingi inamaanisha "fanya mambo ya Kimungu siku ya Mungu", yaani MATENDO YA UPENDO KWA MUNGU NA KWA JIRANI".

  Hivyo kwa kifupi Jumapili (siku ya Mungu) ni siku ya (kufanya matendo ya) UPENDO kwa Mungu na kwa jirani.
   
 4. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Hiyo amri inayosema "shika kitakatifu siku ya Bwana" ipo sehemu gani ndani ya Biblia?.
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  umeshahama kwenye mada

  jikite na swali lako kwanini jumapili inawekewa alama nyekundu, by the way calendar na organizer yangu katika pc yangu havina red colour kwenye siku za jumapili, tuambie ni kalenda ipi? isijekuta unaongelea ma hardcopy yanayochapishwa na freemason
   
 6. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  Deuteronomy 5:12
   
 7. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Hayo hayo mahard copy, kwa hiyo unataka uniambie kuwa huwa yanachapishwa na freemasons? Na kama ni kweli, hiyo rangi nyekundu inawakilisha nini kwa hao free masons? Na kwa nini wanaiweka siku ya jumapili?.
   
 8. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  moderators, naona kama hiithread in elements za udini kwa mbaaali. stop it plz
   
 9. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280

  LAT, mwache tu niende naye mdogo mdogo kwanza, nataka nijue vitu 2 kwake: Lengo lake & akili yake.
   
 10. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Umeshajua akili yangu sasa? By the way wewe ni Mungu hata ujue akili yangu? Akili yangu mi mwenyewe siijui na wala mtu hawezi akaifahamu, ni Mungu pekee ndiye anajua akili yangu. Kwa hiyo labda ujaribu kubahatisha kwenye lengo.
   
 11. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sasa hapo tutakusaidiaje, if you cant even find yourself?
   
 12. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,409
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280

  Ukiuliza ipo sehemu gani ina maana umesoma Bible yote pasipo kukuta maandiko hayo??

  Mwenyezi Mungu alimkabidhi Mussa Mbao zenye amri ambazo Mungu alitaka wana wa Israel watekeleze, Sasa nenda kasome katika Bible kwani inaonyesha hapo umeshika kitabu cha Biblia na ndio maana ukauliza sehemu gani lilipo andiko hili.

  Soma Biblia vizuri na ufanye tafakari ndipo utaelewa, vitabu vitakatifu (Biblia na Korani) havisomwi kama hadithi htaweza kupata kinaelezwa nini.

  SOMA NA KUTAFAKARI NDIPO UTAELEWA!!!!!!  MIZAMBWA
  INANIUMA SANA!!!
   
 13. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,129
  Trophy Points: 280
  Bado nasubiri mtu mwenye jibu la swali hapo juu.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 14. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hayo ni maandishi tu,wamezoea kuandika hivyo.Nakushauri tengeneza kalenda zako weka rangi ya bluu.nyeusi,kijani na njano.Hata usipoweka siku itabaki kuwa siku tu.
   
Loading...