Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

CHAMA cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) kimewatahadhalisha Wanawake watakaobakwa kutooga au kubadilisha nguo kwa sababu kufanya hivyo kunapoteza ushahidi wa kumtia hatiani Mtuhumiwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mpendwa msomaji, wewe na mimi, sote ni wanadamu, na bila kujali vyeo vyetu, utajiri wetu, umaarufu au usomi wetu, au umri wetu sisi sote tutakufa na kuiaga dunia hii. Marafiki na ndugu zetu...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
MWANAMKE mkazi wa Kijiji cha Musimihi, Tarafa ya Ilongero, Wilaya ya Singida, Juliana Ibrahim (52), ameanguka kizimbani na kisha kupoteza fahamu baada ya kuhukumiwa yeye na mtoto wake kutumikia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hivi inawezekanaje mchele kilo 2800? viongozi hawafanyi kitu? Mi na kashule na kakazi kangu shughuli naipata sasa yule mwenzangu na mimi inakuwaje? Imagine this is May, come december mtaniambia...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Closed
Jamani nina shida na january makamba kama kuna mtu ana contacts zake-simu au email basi anipe.Natanguliza shukrani
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Kesi ya Lulu imeendelea kutajwa leo Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu. Cheti cha kuzaliwa kinaonesha kuwa Lulu anaitwa Diana Elizabeth Michael; umri miaka 17; wakati maelezo yake Polisi yanaonesha...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
nimekuwa nikutana na watu tofauti hapa na pale na kuna kitu nime-note watu wafupi hasa wanaume hawajiamini halafu ni wabishi sana,wakiongea kama wanatetea kitu au wanagombana huwa wanapiga vifua...
2 Reactions
78 Replies
21K Views
baada ya rais kuteua baraza jipya la mawaziri je waziri mkuu naye atabadilishwa? Maana yeye ndo shina hasa kwa kushindwa kusimamia mawaziri wengine. Naombeni ufafanuzi jamani?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ingawa sayansi imeisogeza dunia mbele kuliko wakati wowote, uvumbuzi mwingine ni hatari kwa usalama wake. Hivi karibuni Google ilizindua gari linalojiendesha lenyewe. Ni hatua kubwa ingawa magaidi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Written by Ashakh (Kiongozi) // 08/05/2012 // Habari // 2 Comments Imeandikwa na Khatib Suleiman, Zanzibar; Tarehe: 7th May 2012 MKAZI wa Magomeni Makuti mkoani Dar es Salaam, Othman...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SAFARI YA DAR -MTWARA ENEO HILI WENYEJI WANALIPA BENDERA TATU AU MANZESE HATARI TUPU Hii NDIO BARABARA YETU KUSINI HUKU SIJUI ITAISHA LINI?
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Akilihutubia taifa katika maadhimisho ya Mei Mosi , JK alilaani tabia ya watumishi wa umma ambao kila wanapohamishiwa huwa wanajenga nyumba ya kuishi. Hivi namuuliza JK anajua adha ya nyumba za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wa ndugu, Mimi nina kakibanda kangu kigamboni kule kibada(eneo la mikwambe) sijahamia ila tatizo linalonitatiza na kushindwa kuhamia ni wezi,kwani hilo eneo watu wengi hawajahamia hivyo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
MADAKTARI wamehadharisha watu wanaobakwa kwamba wakishatendwa hivyo wasioge au kubadili nguo kwa sababu kufanya hivyo kunapoteza ushahidi muhimu wa kumtia hatiani kisheria mbakaji. Imeelezwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Dr Faustine Ndungulile Mbunge wa Kigamboni (ccm) Utoaji wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto chini ya miaka*mitano Leo asubuhi nimeshiriki kwenye semina iliyoandaliwa na wakala wa vizazi na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
a nilikuwa nasikia tu jamaa anaumwa, anaumwa sa nilokuwa sijaona anaumwa nini, na yukoje ila nimeiona picha yake kwenye hii link MANYARA LEO: Pamoja na Kuugua Sajuki aendelea kupiga mzigo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Benefits galore in KIE If the above was to happen in Tanzania, what percentage of Tanzanian students would benefit ?
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Salaam. Kuna jamaa yangu,huwa kira mara usiku anaongea wakati amelala. Mara kuna siku alishutuka na kuruka kitandani. Naombeni kujuwa tatizo ni nini? Asanteni
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Basi la Muro investment linalofanya safari zake Dar-Tabora likiwa njiani kutoka Tabora kwenda dar limeteketaa kwa moto nje kidogo na mji wa Morogoro, abiria wote wamefanikiwa kuokolea ila baadhi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kelele zimekuwa nyingi sana hapa mjini kuhusu ishu hii sasa hata ss twaweza kujua,kuona na kupambanua kama kiasi hicho cha pesa kinaendana na jengo lenyewe?pamoja na mazingira kwamba ni Italy...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…