Jamani naomba source ya kumchangia sajuki ili nijipige pige nifanye hivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani naomba source ya kumchangia sajuki ili nijipige pige nifanye hivyo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mnyongeni, May 7, 2012.

 1. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  a nilikuwa nasikia tu jamaa anaumwa, anaumwa sa nilokuwa sijaona anaumwa nini, na yukoje ila nimeiona picha yake kwenye hii link MANYARA LEO: Pamoja na Kuugua Sajuki aendelea kupiga mzigo
  nimeguswa. kiukweli. nimeamini huwa siumwi, na sijawahi kuumwa, kama mtu unaweza kuchange kiasi hiki. dah! mungu amponye nipeni souurce please, inayoaminika, na siyo kaka zile za tigo pesa zilizo kuwa zinavuja michango. pia unaweza kuni pm.


  [​IMG]
   
 2. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,116
  Likes Received: 351
  Trophy Points: 180
  nunua gazeti la sani
   
 3. S

  Shaabukda Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 96
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi anaumwa nini?
   
 4. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  nenda clouds fm wanakusanya michango ya kumsaidia sajuki ktk kipindi chao cha muvi leo.mfano leo twanga pepeta wametoa hela nikawasikia wanavyotoa mchango.pia kuna account namba ya mke wa sajuki iko ktk magazeti yote ya udaku wiki kadhaa sasa.
   
 5. k

  kinubi Senior Member

  #5
  May 7, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  [FONT=&quot]Ili kumchangia Sajuki fedha kwa ajili ya matibabu, unaweza kutuma mchango wako kupitia simu ya mkononi kwa kutuma kwenye Tigo Pesa namba 0713 666 113 au kwenye akaunti namba 050000003047 katika Benki ya Akiba Commercial yenye jina la Wastara Juma Issa.[/FONT]
   
 6. mnyongeni

  mnyongeni Senior Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ok thank you, ntanunua gazeti la sani
   
Loading...