Utata wa Jina na Umri wa Lulu!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,199
1,969
Kesi ya Lulu imeendelea kutajwa leo Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu. Cheti cha kuzaliwa kinaonesha kuwa Lulu anaitwa Diana Elizabeth Michael; umri miaka 17; wakati maelezo yake Polisi yanaonesha umri miaka 18; Jina Elizabeth Michael.
Ombi la upande wa utetezi la kwamba kesi isikilizwe Mahakama ya Watoto (Juvenile Court) limekataliwa kwa kuwa Mahakama hiyo haina Mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo hivyo ombi hilo lipelekwe Mahakama Kuu kesi ikipelekwa huko! Pia Mahakama imeagiza uchunguzi zaidi ufanywe kuhusu utata wa majina na umri wa Lulu!
Source: Clouds TV.
 
Hebu toa huu udaku wa maisha ya watu kwani humu jukwaa la siasa sio mahali pake na humu tunajadili2 mambo ya muhimu yahusio taifa na wala sio hawa wauza sura wanajiingiza kwenye matatizo tena ktk umri mdogo kwa kupenda chapaa na cheap popularity.
Samahani kama nimekuboa but ukweli ni kwamba nyie mnaopenda habari za watu ndio mnaoturudisha nyima watu kufanya mageuzi nchini na Mungu wa israel awasamehe kwa dhambi hiyo mbaya.

Shardcole@Tabora1
 
shardcole labda kama mimi macho yangu hayaoni vizuri mbona hii thread iko kwenye jukwaa husika la Habari na hoja mchanganyiko? mbona hii kesi inamake headline kwenye Television zote pamoja na magazeti yote ya kesho Jumanne ni lazima wataipa coverage?
 
Hebu toa huu udaku wa maisha ya watu kwani humu jukwaa la siasa sio mahali pake na humu tunajadili2 mambo ya muhimu yahusio taifa na wala sio hawa wauza sura wanajiingiza kwenye matatizo tena ktk umri mdogo kwa kupenda chapaa na cheap popularity.
Samahani kama nimekuboa but ukweli ni kwamba nyie mnaopenda habari za watu ndio mnaoturudisha nyima watu kufanya mageuzi nchini na Mungu wa israel awasamehe kwa dhambi hiyo mbaya.

Shardcole@Tabora1
Mkuu Kesi nzito ya mauaji tena iko Mahakamani wewe unaita "udaku?"
 
Lakini jamani kwani mahakamani wanaangalia umri wa mtu wapi si kwenye vyeti vya kuzaliwa au muonekano wa usoni? Kuna anayebisha kuwa Lulu ukimtizama usoni anaonekana ana miaka 17 au ukiwa na makengeza utamuona anamiaka16. Nawashauri wampime umri wake chini ya kiuno, haki yanani watagundua kule chini yule binti anamiaka si chini ya 45 yaani ni mtu mzima kuliko hata hao askari wanao mlinda maana stamina yake siyakitoto!
 
Kajitakia mwenyewe huyo, haitaji huruma hata chembe, mtoto mdogo kutwa kuhangaika na wanaume, sijui hata kama shule alikuwa anasoma, Rest In Peace Kanumba, ngoja tushughulike naye huyu Dogo.
 
Wampime umri kwa kutumia half life decay! Baada ya hapo kama wazazi wake nao wanadanganya mahakama nao watiwe ndani! Solved!
 
Lakini jamani kwani
mahakamani wanaangalia umri wa mtu wapi si kwenye vyeti vya kuzaliwa au
muonekano wa usoni? Kuna anayebisha kuwa Lulu ukimtizama usoni
anaonekana ana miaka 17 au ukiwa na makengeza utamuona anamiaka16.
Nawashauri wampime umri wake chini ya kiuno, haki yanani watagundua kule
chini yule binti anamiaka si chini ya 45 yaani ni mtu mzima kuliko hata
hao askari wanao mlinda maana stamina yake siyakitoto!

duh,mkuu huko chin ni wp tena? kwa mbele au kwa nyuma mkuu,tupe habar mkubwa
 
Kuna ukweli unatafutwa kufichwa ili kurahisisha kesi. MFANO ikithibitika kuwa dogo ana miaka 17 basi tayari upande wa mastaka utakuwa umemfanyia kosa kumweka mahabusu ya wakubwa,hiyo pekee ni utetezi mzuri kwa dogo ya kwamba alighafirika kisaikolojia kuchanganya na wakubwa
 
Jamani wana JF,Lulu ni mchaga, katu hata siku moja hawa ndugu zangu haswa wanawake wa kichaga hawataki kukua. Haiwezekani atimize miaka 18,leo hii aseme ana miaka 17 mara 16, hao wazazi wake nao wana matatizo, sheria ichukue mkondo wake ili iwe fundisho, kama ni mtoto mdogo mbona ana mambo ya ki utu uzima?
 
Kuna ukweli unatafutwa kufichwa ili kurahisisha kesi. MFANO ikithibitika kuwa dogo ana miaka 17 basi tayari upande wa mastaka utakuwa umemfanyia kosa kumweka mahabusu ya wakubwa,hiyo pekee ni utetezi mzuri kwa dogo ya kwamba alighafirika kisaikolojia kuchanganya na wakubwa

Yeye mwenyewe akihojiwa polisi aliwambia ana miaka kumi na nane, baada ya kuibuka wajanja wakamuambia akishusha umri kesi inapungua nguvu ndo tumeanza kusikia kua mara ana miaka kumi na saba mara kumi na sita. Kabla ya hapo alishasherekea kufikisha miaka kumi na nane. Kuna aina fulani ya usanii unaendelea hapa, kama umri mkubwa(miaka 18) ungemsaidia kuondokana na kesi iliyopo mbele yake yawezekana angeleta birth certificate inayoenesha kua ana miaka hiyo.
 
Mkuu Kesi nzito ya mauaji tena iko Mahakamani wewe unaita "udaku?"

Mkuu siamini kama ni wewe unaeongea maneno haya! Yaani I can not believe that nowdays you are too polite. Nafurahi kuona mabadiliko.
 
Wampime meno, kutumia carbon14 hapo ubishi utaisha.
Nani hajui Tz hapa vyeti vya kuzaliwa vinachongwa kama pipi.

Twende kwa scientic proof, wasipoteze muda kwa kitu kidogo, wakati njia ya kumaliza utata ipo.
 
Mkuu siamini kama ni wewe unaeongea maneno haya! Yaani I can not believe that nowdays you are too polite. Nafurahi kuona mabadiliko.

Naam! kakibidhiwa uongozi! sikuhizi hana malumbani yasio kuwa na msingi! namkubali the new Buchanan
 
Lakini jamani kwani mahakamani wanaangalia umri wa mtu wapi si kwenye vyeti vya kuzaliwa au muonekano wa usoni? Kuna anayebisha kuwa Lulu ukimtizama usoni anaonekana ana miaka 17 au ukiwa na makengeza utamuona anamiaka16. Nawashauri wampime umri wake chini ya kiuno, haki yanani watagundua kule chini yule binti anamiaka si chini ya 45 yaani ni mtu mzima kuliko hata hao askari wanao mlinda maana stamina yake siyakitoto!

Escobar unatisha
 
Mtoto wa miaka 17 hawezi kufanya mambo alofanya Lulu maana ni ya kiutu uzima kuliko, mpaka yanatia KICHEFU CHEFU, na zaidi tunasikia ANA MIMBA YA MIEZI 4 , sasa sijui ni kweli! na istoshe hata kama hakupatikana na hatia ya kuua, vipi ameiongopea serikali mpaka apate driving Licence?
 
Kuna ukweli unatafutwa kufichwa ili kurahisisha kesi. MFANO ikithibitika kuwa dogo ana miaka 17 basi tayari upande wa mastaka utakuwa umemfanyia kosa kumweka mahabusu ya wakubwa,hiyo pekee ni utetezi mzuri kwa dogo ya kwamba alighafirika kisaikolojia kuchanganya na wakubwa

Mkuu hapo kwenye red kuchanganywa na wakubwa mahabusu tu ndo kuna kughafirika kisaikolojia,na kuchanganya kitanda na wakubwa je,hakuna?
 
Back
Top Bottom