Gari ambalo magaidi watanunua kama njugu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari ambalo magaidi watanunua kama njugu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, May 9, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  [h=3][/h]


  [h=2][​IMG][/h]
  Ingawa sayansi imeisogeza dunia mbele kuliko wakati wowote, uvumbuzi mwingine ni hatari kwa usalama wake. Hivi karibuni Google ilizindua gari linalojiendesha lenyewe. Ni hatua kubwa ingawa magaidi watanunua aina hii ya gari ili kufikisha mizigo yao. Wengi wameishabikia bila kuliangalia hili kwa undani. Je tutazuiaje gari hili kutumiwa na magaidi kulipua mabomu wao badala ya kutumia watu kama ilivyo sasa? Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.


   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  duh! Kweli ni hatari, maana watafunga bomu na kulielekeza gari panapohusika.i
   
 3. Mahmood

  Mahmood JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 7,851
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  Unawakusudia kinanani magaidi ?
   
 4. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Magaidi wa pande zote uwajuao wawe vikundi vya watu wasio na dola au wenye dola. Kimsingi gaidi kwangu ni yeyote ayeleta hofu-terror-making creature on the street, state house or jungle.
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kama vile wanavyozinunuwa "drone" au sio? Zile ndege bila rubani zinazokwenda kushambulia wanawake, watoto na wazee wasio na hatia.
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  tusubiri cccm itakapo tumia jeshi kutuangamiza chadema itakaposhinda uchaguzi
   
 7. e

  emkey JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 728
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Si kweli, hiyo siyo maana halisi ya neno gaidi, omba usaidiwe ndgu...
   
Loading...