KIGHERA
Member
- Nov 19, 2010
- 84
- 27
Habari wa ndugu,
Mimi nina kakibanda kangu kigamboni kule kibada(eneo la mikwambe) sijahamia ila tatizo linalonitatiza na kushindwa kuhamia ni wezi,kwani hilo eneo watu wengi hawajahamia hivyo kuna wezi wanaoingia nyumba za watu mara kwa mara kwani jirani yangu wameshamliza.
Hivyo naomba ushauri wandugu kwa wanaokaa maeneo yale au yeyote anae kaa maeneo ambao watu wengi hawajahamia wanatumia mbinu gani kuwaepuka hawa jamaa au kuliondoa tatizo kabisa.
Ahsanteni na nawasilisha,unaweza pia kuni pm kama unaona kuna haja ya hivyo tafadhali.