Hivi jk unajua adha ya nyumba za kupanga ?

KakaNanii

JF-Expert Member
Sep 28, 2008
325
52
Akilihutubia taifa katika maadhimisho ya Mei Mosi , JK alilaani tabia ya watumishi wa umma ambao kila wanapohamishiwa huwa wanajenga nyumba ya kuishi. Hivi namuuliza JK anajua adha ya nyumba za kupanga ?
 
Kwa nini asijue! Wakati na yeye amekulia kwenye maisha ya Dhiki.
 
....kwahyo ndo mjenge nyumba kila kituo kipya cha kazi....!?? UFISADI ni janga la kitaifa....
 
....kwahyo ndo mjenge nyumba kila kituo kipya cha kazi....!?? UFISADI ni janga la kitaifa....

kama uwezo unaruhusu why nisijenge?ntajinyima na kamshahara nijenge hata kibanda tu, mbona wao wanajenga?kila mbuz atakula kwa urefu wa kamba yake
 
Back
Top Bottom