Ekelege na mikataba yake na kampuni za wafaransa ni tatizo pale tbs. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ekelege na mikataba yake na kampuni za wafaransa ni tatizo pale tbs.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Dickson Mpemba, May 7, 2012.

 1. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Kwa tatizo kubwa la ajira tulilokuwa nalo hapa tanzania mimi sioni sababu ya ekelege kutunyima sisi vijana wa kitanzania nafasi hizi za ajira kwa kutoa tender za ukaguzi wa mizigo yote inayotoka china na nchi nyingine duniani kwa kampuni za wafaransa ambao wameajiri watu waho huku far east na mwisho wa siku wanatunyanyasa sisi ambao ni wafanya biashara, leo nimekutana na hii kutoka kwa supplier wangu mwenye kiwanda cha baiskeli hapa shanghai nikachoka kabisa.
   

  Attached Files:

 2. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi huyu jamaa si anatakiwa naye ameshaungana na wenzake akina basil pale ksutu,bado tu anakula AC ya ofis??
   
 3. Dickson Mpemba

  Dickson Mpemba JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 330
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  yaani wewe kama ni exporter huku Far East ndiyo utagundua huyu jamaa ni KIRUSI
   
Loading...