Message za kijinga kutoka Airtel

pmwasyoke

JF-Expert Member
May 27, 2010
4,594
2,981
Jamani kutoka Jana hadi leo nimekwishapata message zaidi ya 20 za kijinga kutoka Airtel, na bado zinaendelea kuingia: mara kuhusiana na English premier league, mara call now for free to get todays offer ...., nk. Kibaya zaidi ni kwamba meseji zenyewe zinajirudiarudia. Inachosha ile mbaya.

Kama kuna anayejua namna ya kublock meseji hizi kutoka airtel anipe ujanja tafadhali.
 
Wapigie kwa 100 au 140 uwaambie, wakigoma hama mtandao. Mimi nilihama sasa natumia Zantel na Tigo, pamoja na kwamba nao wana matatizo lakini siyo makubwa hivyo.
 
Back
Top Bottom