TRL kuongeza nauli kwa 50%

Pinokyo Jujuman

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
552
104
Shirika la Reli hivi karibuni linatarajia kupandisha gharama za nauli kwa 50% kwa abiria wa daraja la tatu na 25% kwa daraja la kwanza na la pili!
Kulingana na mpango huo Sumatra inawaomba wadau wote wa shirika hili kuhudhuria majadiliano juu ya mpango huo wa upandishaji wa nauli.
Ukusanyaji maoni kupitia mjadala huo utafanyika kesho tarehe 10/05/2012 pale Karimjee Hall majira ya saa nne(4:00) asubuhi.

My take: Sio wakati muafaka wa kupandisha nauli, badala yake waboreshe kwanza mabehewa & engine zake"
 
Na ATCL nao wapandishe nauli. Ukisikia vituko ndio hivi, huduma hakuna halafu unapandisha bei ya huduma isiyokuwepo!
 
Shirika la Reli hivi karibuni linatarajia kupandisha gharama za nauli kwa 50% kwa abiria wa daraja la tatu na 25% kwa daraja la kwanza na la pili!
Kulingana na mpango huo Sumatra inawaomba wadau wote wa shirika hili kuhudhuria majadiliano juu ya mpango huo wa upandishaji wa nauli.
Ukusanyaji maoni kupitia mjadala huo utafanyika kesho tarehe 10/05/2012 pale Karimjee Hall majira ya saa nne(4:00) asubuhi.

My take: Sio wakati muafaka wa kupandisha nauli, badala yake waboreshe kwanza mabehewa & engine zake"

Huo uboreshaji utafanywa na mawe? Moja kati ya sababu zilizofanya shirika kushindwa kujiendesha ni ukosefu wa ubunifu na mapato madogo. TRL na NHC ni mashirika ya ajabu kabisa ambayo sidhani kwa msingi upi tungesema yanajiendesha kibiashara.

Nauli zipande (japo siungi mkono 50%) na maboresho yafuatie.
 
Wanataka kupandisha nauli wakati hakuna treni?Hivi huyo mkurugenzi anatumia nini kufikiri?
 
Huo uboreshaji utafanywa na mawe? Moja kati ya sababu zilizofanya shirika kushindwa kujiendesha ni ukosefu wa ubunifu na mapato madogo. TRL na NHC ni mashirika ya ajabu kabisa ambayo sidhani kwa msingi upi tungesema yanajiendesha kibiashara.

Nauli zipande (japo siungi mkono 50%) na maboresho yafuatie.

Sources of fund ziko wazi; huwezi kukimbilia kupandisha nauli wakati huduma mbaya; Hata ukiwa na nyumba ya hovyo ukitaka kupandisha pango basi ikarabati kwanza
 
Huo uboreshaji utafanywa na mawe? Moja kati ya sababu zilizofanya shirika kushindwa kujiendesha ni ukosefu wa ubunifu na mapato madogo. TRL na NHC ni mashirika ya ajabu kabisa ambayo sidhani kwa msingi upi tungesema yanajiendesha kibiashara.

Nauli zipande (japo siungi mkono 50%) na maboresho yafuatie.

Yaleyaleeeeee, ya Quantity Surveyor kuwa Social welfare expert! Sasa kipi kinaanza ni huduma au bei-Huduma huna then unataka kupandisha bei, inakuja hiyo. Nadhani mashirika yetu yamefikia what economists call "point of diminishing return", so, no any deliverance/output can be realized and what they are doing is just reminding us their deadly-existence.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom