Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kipanya leo!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiganyi, May 9, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 2. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,248
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Kipanya ni mbunifu sana
   
 3. mizambwa

  mizambwa JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 4,004
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Picha ninayoipata mimi:-

  Ni kutokana na hawa Waheshimiwa waliochukua Wizar ya Nishati juzi eti kutangaza kuwa moja ya mikakati yao ni kufanya Mgao wa Umeme kutokuwepo kabisa na kubaki kama Historia tu ya Tanzania. Eti watoto wetu waasoma darasani kuwa kulikuwa na Mgao wa umeme Tanzania na kujibu maswali katika mitihani.


  YETU MACHO!!!!!!!! bado ni wadogo sana katika wizara na wapya; Ngel eja amekaa muda mrefu lakini ameshindwa.

  YETU MACHO!!!!


  KIAMA YA CCM IMEFIKA, NA BADO WATASEMA MENGI!!!
  MIZAMBWA
  NABII MTARAJIWA!!!
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 5,932
  Likes Received: 1,002
  Trophy Points: 280
  Ina maana kazi hii amepewa mtoto?
   
 5. idete

  idete Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  toto kapata kofia iliyo kubwa kuliko.
   
 6. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 6,810
  Likes Received: 529
  Trophy Points: 280
  Mvinyo ni ule ule sema chupa mpya!
   
 7. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,900
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Huyu BABY hadi akue aache kunyonya......TWAFA:-(
   
Loading...