Ndugu zangu Wana JF, WAISLAMU WA UHAMSHO Ndio Akina nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu zangu Wana JF, WAISLAMU WA UHAMSHO Ndio Akina nani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by UTAJUA, May 9, 2012.

 1. U

  UTAJUA Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari Wana Jamii, Tafadhali naombeni mnieleweshe, Wana Uhamsho wa Kiislamu ndio nini? au ni watu Jumuiya gani?, Kwani nimesikia kwenye vyombo wakieleza mfano ''kuwa jumuiya za Kislamu za Uhamsho Zanzibar'' wanaitisha mikutano kupinga Muungano na nimesikia sehemu nyingine wakisema Wana Jumuiya kiislamu wa uhamsho.

  Thanks.
   
 2. S

  Sam Upendo Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wizara ya mambo ya ndani mnaoendelea kumhoji Mh. Nassari kuhusu matamshi yake ya kuigawa nchi jibu swali hili.
   
 3. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Ni jopo la mashehe na wasomi wengine kule Zanzibar wanaohamasisha kuwepo kwa kura ya maoni kuhusu muungano huko zenji infact hawautaki muungano kinachoshangaza ni kuona kwamba serikali inakifumbia macho kwa kuhatarisha amani ya nchi maana kuna tetesi kwamba wanafadhiriwa na nchi fulani ya kiislam.
   
 4. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  kwenye blue hapo! si kweli..lile ni kundi la vijana wa cuf ambao huku tungechukulia kama Uvccm ama Bavicha..na si wasomi!!! mmoja wa kiongozi wao namfahamu sana tu! alijaribu kuingia JF na siasa za kipumbavu za kucomment kila kitu kuhusu muungano na uislamu akalamba ban hamu hana!!!!
   
 5. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uamsho~ni kikundi cha wanaharakati huko Zanzibar kinachoendeleza msukumo wa kudai Zanzibar huru.
  Kimsingi ni kikundi kinachopinga uwepo wa Muungano na kutaka Wazanzibar wajitenge na watambulike kama Nchi inayojitegemea.
   
 6. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Zanzibar huru ikoje mkuu una maana iliyopo ni koloni? Na kama ni koloni ni la nchi ipi?.
   
 7. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jumuiya ya Uamsho wana point, but what they are doing ni kama Wahuni wa Benghazi, hivyo watamuua "Ghadaf" then watajatambua kuwa hawakupata walichotarajia-Mi nadhani waachwe waendelee ili self-regulating mechanism ije idhihirike hapo baadae. Hata hivyo ningewaomba wasinyanyapae Watanganyika walioko huko kwani Dini ya hairuhusu kuwabagua watu kwa utaifa/rangi zao bali kwa uaminifu wao kwa Mwenyezi Mungu(bila kuharibu haki zao kama wanadamu walioletwa na yeye).
   
 8. Pinokyo Jujuman

  Pinokyo Jujuman JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka wao wanahesabia kuwa sie Wabara kama tunawatawala na tunaulazimisha muungano na tunawakandamiza na kujipendelea katika mambo mengi pamoja na kuyakwamisha maendeleo yao.
   
Loading...