Leo ndio Siku Aliyokufa Brenda Fassie, May 9 - Yule alikuwa Mwanasiasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Leo ndio Siku Aliyokufa Brenda Fassie, May 9 - Yule alikuwa Mwanasiasa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Cable, May 9, 2012.

 1. Cable

  Cable Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau,

  Samahani inaweza ikawa sio mahali pake ila nimesikia leo kupitia Arusha Mambo habari hizi za kumbukumbu ya kifo cha Brenda Fassie wa South Africa na kuwa Mzee Mandela na Rais wa sasa wa Afrika Kusini walikwenda kumjulia khali hospitalini kabla ya kifo chake, nikajiuliza hivi yule dada alikuwa Mwanaharakati, Mwanasiasa au Mwanamuziki?

  Ila mchango wake kwa ukombozi wa Afrika ya Kusini ulikuwa mkubwa sana na utakumbukwa kwa vizazi vingi vijavyo, Je Tanzania tuna wanamziki wanaoweza kusaidia harakati za sasa za kuleta mabadiliko katika nchi au wao bize na nyimbo za mapenzi?

  Arusha Mambo ambao leo wanapiga nyimbo za SA the best wamenifanya niwaze jambo hili,, hapa tunao watu wa mifano ya Brenda Fassie, Chaka Chaka, Miriam Makeba, Oliver Mutukuzi..... ambao waliimba kukosoa na kutaka mabadiliko katika nchi zao???
   
Loading...