TOPIC-PROF SHABANI MLACHA haNG'OKI UDOM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TOPIC-PROF SHABANI MLACHA haNG'OKI UDOM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zubedayo_mchuzi, May 9, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  1.Alishawahi kuongea na waandishi na kuwambia kuwa tatizo siyo yeye ila tatizo ni POST Aliyo nayo hata kama apelekwa malaika matatizo hayataisha.

  2.Ni nguma kumchinja kuku anaehatamia.

  3.Malecture watofautisha kati ya KUAJIRIWA KWA KUTUMA MAOMBI,NA ANAETUMIWA EMAIL KUJA KUFANYA KAZI.Ni nguma kumuondoa mtu aliepitisha barua yako ya kazi.

  Haoni tatizo kukwambia kuwa kwake UREFU NA UMASKINI NDO TATIZO KWAKE .
   
Loading...