Who is shaban mlacha at udom????????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Who is shaban mlacha at udom?????????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Tina, Dec 23, 2010.

 1. B

  Baba Tina Senior Member

  #1
  Dec 23, 2010
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Prof SHABAN MLACHA (profesa wa kiswahili) anatajwa kua mtu anaye vuruga chuo kikuu cha dodoma (UDOM). Yeye naibu makamu mkuu wa chuo anayesimamia mipango, PESA, na utawala lakin inasemekana ndiye mwenye nguvu zaidi kuliko hata makamu mkuu wa chuo hicho. Anatajwa kua mtu mwenye kiburi, ubabe, dharau na majivuno kiasi cha kusababisha wahadhiri na wafanyakazi wengi kuhama chuoni hapo kila kukicha. Idadi ya wahadhiri na wafanyakazi waliokwisha hama chuoni hapo kwenda vyuo mbalimbali kama UDSM, DUCE, MUCE, SUA, SUZA, SAUT na vingine ni kubwa kutokana na ubabe wa profesa huyu. Amekua akibana pesa kwa ajili ya waadhiri kwenda kusimamia wanafunzi wanapokua wakifanya mafunzo kwa vitendo. Kwa mfano mwaka uliopita wa masomo alikataa mapendekezo ya uongozi wa chuo cha elimu ya kupangiwa wiki siku 14 kwa ajili ya kusimamia wanafunzi waliokua wakifanya mafunzo kwa vitendo lakini yeye aliamua kutoa malipo ya siku 5 ambpo wahadhiri walitakiwa kufanya assessment kwa mkoa mmoja. Uamuzi huu ulikua na athari kubwa sana hasa kwa wanafunzi wa ualimu ambao hawakufanyiwa assessment iliyozoeleka ambapo mhadhiri anatakiwa kuhudhuria darasani kushuhudia jinsi mwanafunzi wake anavyofundisha. Badala yake wahadhiri walikusanya mafaili ya wanafunzi wote na kuyafanyia assessment na baadae kuyarudisha kwa wanafunzi kupitia kwa viongozi wao. Hii ni tofauti na vyuo vingine kama UDSM ambapo muhadhiri huudhuria darasani kushuhudia jinsi mwanafunzi anavyofundisha darasani na baadae hukaa na mwanafunzi huyo kulipitia faili lake na kujadiliana nae mambo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kumuelekeza mahali alipokosea. Kwa hali hii kwa nini UDOM kisiitwe chuo cha kata????? Prof MLACHA pia anadaiwa kuwahi kutoa lugha za kuwadhalilisha wakufunzi na wafanyakazi wengine kwa kuwaambia kua NJAA zao ndizo zilizo wapeleka UDOM na kwamba watu walioajiriwa hapo ni watatu tu yaani yeye mwenyewe, makamu mkuu wa chuo, na DVC- ARC. Kiburi chake kinahusishwa na uswahiba wa karibu sana alionao na JK ambapo inasemekana wameoa sehemu moja.!! WADAU MNAOMFAHAMU HUYU MTU KUTOKA UDOM MNASEMAJE?????
  [/FONT]
   
 2. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 670
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  Mkuu kwa hili nakupa tano. Huyu jamaa ndo kila kitu UDOM. Jambo lolote halifanyiki bila consultation yake. Na akisema NO basi ni NO! Amechukua jukumu la makamu mkuu wa chuo ambae aonekana hana nguvu juu ya huyu jamaa wala sauti juu ya mamuzi mengi yanayofanyika hapo chuoni. Chuo kinakwenda hovyo kwa sababu yake. Mambo yamemshinda aachie watu wenye vichwa vyao wapenda maendeleo na uchungu kwa taifa hili. Yuko pale kwa maslahi yake na shosti zake hajali watendaji wengine, na amekifanya chuo kuwa mali yake wala hakuna wa kumbabaisha!! Time will tell, zake zimehesabiwa!!!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,770
  Trophy Points: 280
  [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] Join DateWed Dec 2010Posts5Thanks0Thanked 0 Times in 0 Posts
   
 4. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2010
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Baba Tina, uandishi wako unaonyesha kuwa unamfahamu vizuri sana huyo Professor hasa katika nyakati hizi ambazo yuko hapo UDOM. Pia inaelekea una source mzuri sana wa taarifa au wewe ni mhanga wa manjonjo ya huyu mtu.
  Kwa kwelu kama haya uliyotupa ni ya kweli, basi UDOM INA WAKATI MGUMU SANA.
  Labda tutafute taarifa zake hasa alipokuwa UDSM. Ila kwa hili la kuwa na kiburi, hali inatisha.
  Sijamsikia wakati huu wa mgomo wa wanafunzi, kulikoni
   
 5. MKURABITA

  MKURABITA JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2010
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ni huyu huyu MLACHA anayelazimisha wahadhiri UDOm kusign in and out tofauti na utaratibu wa vyuo vingine. Pia inasemekana pesa za kujikimu za wafanayakazi wa UDOM zilishalipwatoka hazina ila ni MLACHA anayesemekana kuzitafuna. Ki msingi MLACHA ni mhuni tu pale UDOM
   
 6. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,536
  Trophy Points: 280
  Ukweli mtupu! Huyo mlacha kalewa madaraka. Pia anaendekeza udini hapo UDOM. Anaweka maslahi ya wanafunzi mbele ya wahadhiri,ikiwa ni njia ya kuogopa migomo. Kwa yaliyotokea juzi ni warning signal kwake. Pia ni fisadi mkubwa kwani alitaka 10% kutoka kwa contractor wa kuweka sewerage system hapo UDOM, contractor akakataa mwisho wake chuo kinanuka na kuvuja majitaka ovyo kwa sababu ya sewer system fake iliyowekwa. Hata pale UDSM katika idara ya kiswahili na TATAKI/TUKI,jamaa alikua na kiburi na majivuno. Ila si unajua watu wa wafupi (akina Dr. Love Pimbi) walivyo na shida!? Inferiority complex ndo inamfanya awe ivyo.
   
 7. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,536
  Trophy Points: 280
   
 8. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,536
  Trophy Points: 280
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  There is a chinese medicine which could cure that dieses
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,434
  Likes Received: 19,770
  Trophy Points: 280
  haya matatizo yote wakubwa hawayaoni? kama JK ndiye kamuweka basi JK should swallow this? JK ===MLACHA ..
  UDOM STUDENT SUPPORT JK AND HIS CABINET!! SO WHY U SHOULDNT SWALLOW THIS U ALL GUYS?
   
 11. B

  Baba Tina Senior Member

  #11
  Dec 24, 2010
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo nenooooo!! Sikujua kama wahadhiri wana sign in and out na pia sikujua kama wahadhiri hawajawahi kupata pesa za kujikimu!! Itabidi niwasiliane na chanzo changu cha habari kwa uhakika zaidi. Namuomba SAED KUBENEA afanye uchunguzi wake ili siku moja atuanikie UOZO uliopo hapo UDOM gazetini. Kuna habari pia nimezipata hivi punde kwamba kuna maprofesa waliletwa kutoka india kwenda kufundisha UDOM kwb gharama kubwa za serikali lakini Prof MLACHA kama kawaida yake akawakoromea wakaondoka baada ya muda mfupi kurudi kwao. .
   
 12. M

  MaMkwe JF-Expert Member

  #12
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 5, 2007
  Messages: 284
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimetua Dar jioni hii kutoka Zenj. Nakusudia kufika Dodoma hadi UDOM. Nikirudi nitawapasha kuhusu ukweli na urongo wa haya
   
 13. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hivi kama hayo madudu kweli yanafanywa na prof. MLACHA hapo UDOM hakuna umoja wa wahadhiri kama ilivyo UDASA kwa UDSM??? Na kama umoja huo upo kazi yake ni nini mpaka wanamuacha mv mmoja anatamba kiasi hicho!! Let them apply people's power. Mkifanya solidality huyo MLACHA ataondoka au atabadilika kwa kiasi kikubwa..
   
 14. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  alikuwa wapi huyo mlacha kabla ya kwenda Udom?
   
Loading...