Mheshimiwa machemuli mbunge wa CHADEMA- UKEREWE.
Natumai umepona ama unaendelea vema baada ya kuumizwa.
Nia ni kutaka kujua kwa nini umekaa kimya namna hiyo kwani hatusikii operation vua gamba...
Beware G8 motives, JK, others cautioned
"Currently Tanzania is satisfied with food production by its farmers, therefore, it is possible to empower them for...
wana Jamvi
jana ktk taarifa ya habari ya TBC saa mbili usiku nilimsikia kiongozi Nape Nnauye akiwaeleza waandishi wa habari kuwa,mpaka sasa viongozi wa CCM waliohama ni 6 tofauti na vyombo vya...
Juzi nilikuwa naangalia kipindi cha Ahadi ni Deni kinachorushwa na Runinga ya ITV. Kuna mambo mawili ambayo niliyaona na kuyasikia ambayo ningependa kuwashirikisha:
Kwanza, ninachoweza kusema ni...
Leo asubuhi muda wa saa moja kasoro, basi la daladala limepinduka eneo la sabasaba. Basi hilo lilikua linatoka Mbagala kuelekea wilaya ya Kinondoni na lilikua limejaa abiria. Wanajamii mna habari...
Nimeona kuna ujenzi wa Bar Katika eneo la Botanic Garden ya Magomeni, Wahusika Halmashauri ya wilaya na Maliasili mnalionaje swala hili lina manufaa kwa wakazi wa Jiji la dsm. Faida Kubwa ya baa...
kuna habari nimezipata kutoka mtu wa ndani NSSF kuwa pesa zetu zimeliwa zote na serikali sasa wanakuja kutunga sheria mpya mwezi wa saba bungeni kuwa mwanacha hutapewa pesa zake mpaka...
Posted by Mwanamayu | May 14, 2012
Hawa DAWASCO siwaelewi kwani toka last week nikifungua bomba la maji ya DAWASCO nasikia harufu sasa sielewi kama dawa imezidi, au hizi mvua zimeingiza uchafu...
Dah siku ya leo kwangu iliisha kinamna yake kabisa coz ilikua ya mshangao kidizain.leo wakat natoka ktk michakato yangu km mida ya saa 10 hivi nkapita maeneo flani ya sukari house pale posta...
Hoja hii ilianzishwa wakati JF ikiwa katika marekebisho makubwa, haikuweza kupatikana hivyo tunairejesha:
Mawazo Metusela (0717 238011) ambaye alikuwa Mgombea Ubunge kupitia NCCR ameamua kujivua...
Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni! Hivi inaingia akilini kuwa kuna Wazanzibari wanaishi Mogadishu - Somalia kama wakimbizi kwa miaka 11 sasa tangu 2001 eti kwa kuhofia maisha yao na vurugu za...
Mtumishi wa mmoja wa Halmashauri ya Bagamoyo Erick Mnon'gona ambaye alikuwa ni mkusanya ushuru wa wamzao ya miti jana amepandishwa kizimbani kwa makosa ya udhadhilifu wa fedha zaidi ya sh mil 60...
Mimi nimechoka na hawa traffic police hapa Arusha. Baadala ya kuongoza magari au kuangalia wavunja sheria barabarani wao hujikusanya sehemu mbali mbali ya jiji letu, kazi kubwa ni kuomba pesa...
Wana JF.
Nimesikiliza kipindi cha jahazi cha clouds fm ambapo leo topic ilikuwa inahusu hotuba ya mbunge joshua nasari. Kilichonisikitisha sana ni kauli ya kibonde kuhusu nasari. Kibonde...
CDM ni chama kikubwa cha upinzani kilicho HAI kishikacho kasi ya pekee. Hivi juzi kwenye mkutano wao Arusha Mh. Nasari alitoa kauli ambazo kimsingi si zenye kujenga Chama wala Taifa, lkn kwa NIA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.