Ajali ya daladala Mbagala!

GREAT PJM

New Member
Apr 21, 2012
3
0
Leo asubuhi muda wa saa moja kasoro, basi la daladala limepinduka eneo la sabasaba. Basi hilo lilikua linatoka Mbagala kuelekea wilaya ya Kinondoni na lilikua limejaa abiria. Wanajamii mna habari na ajali hii? je, kuna waliopoteza maisha ktk ajali hii iliyo sababishwa na uzembe wa makusudi wa dereva? Nashauri hatua kali zichukuliwe dhidi ya madereva wazembe kama huyu.
 
Niwie radhi ndugu yangu, mimi ni msafiri nilikua napita njia. Nimeiweka hewani ili kama kuna mtu anaelewa vizuri juu ya ajali hii atujuze wenzie!
 
Back
Top Bottom