kubadilisha fedha ya tz na dola

Gagso

Member
Apr 16, 2012
58
3
niaje wana jf.ebu naomba nifamisheni n sehemu gani naweza kubadilisha pesa ya tz kwa dola.kwa bie nafuu?
 
kwa kuchange fedha nenda kariakoo kuna jamaa fulani wako pale wanaexchage nzuri halafu hawana longolongo ni mara nyingi twawatumia wako poa but kuwa makini makini kwenye hizo quantation wengi huwa wanatuibia hapo hasa hawa wahindi na walabu kwenye bureu de change
 
kweli bana hata mie nataka kuagiza gari japan nahitaji nibadilishe madafu nipate dollar ndo nikatransfer
 
Back
Top Bottom