POLISI mkoani Mwanza inawashikilia watu 39 waliokamatwa katika msako uliofanyika maeneo ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine(Saut) kwa mahojiano juu ya mauaji ya utata yaliyotokea katika...
Ili jambo lolote lifanikiwe duniani linahitaji mambo matatu: nia, sababu na uwezo.
Katika utelezaji likupungua moja kati ya mambo haya huwa hakuna mafanikio. Lakini jambo kubwa zaidi katika haya...
Nimeangalia baadhi ya majina ya wateule hawa na kinachoonekana sio tu kwamba Ukuu wa Wilaya ni maalum kwa ajili ya makada wa CCM waliokosa pa kwenda bali pia mwendelezo wa mambo ya kifisadi...
Kuna dada mmoja mrembo anajiita Jack Shoo anajifanya graduate wa Makerere University, anawasiliana na wanaume tofauti na kujifanya ana matatizo kakwama mikoani mara Bukoba, mara Mwanza na...
Kwa wenye kumbukumbu, hivi kuna kipindi huyu jamaa amepata kukasikika akiongea vitu ambavyo ni sensible? Ukiondoa quotes from the famous people?. Hebu fuatilieni alicho post kule JamiiForums on...
Zile 'subtitle' zinazopitishwa wakati wa taarifa ya habari zinakera, hazina mpangilio, na hazina updates, nimeangalia subtitle zinazopitishwa kwenye kipind cha bang angalau ni nzuri, font size...
Nchi hii mie sielewi kabisa mie Dogo alikuwa sawa kabisa haiwezekani mie nizalishe sana hapa Mwadui Almasi then zikajenge fly over Dar, wa Tanga azalishe chai akajenge bandari Dar, Kidatu...
kuna ajali imetokea mtoni mtongani pale kwenye mto mzinga darajani. roli lilokuwa limebeba korosho limepinduka. ni ajali mbaya sana ambayo umetokea kwenye mkusanyiko wa watu. Majirani wa pale...
Kwa anavyoongea kwenye tuongee asubui, mijala anavyoipamba selikali. Anasifu kila kitu na asiyeweza kukosoa lolote kuhusu selikali. Na mkosoaji mkubwa wa upinzani.
Mtu aliyesaidia wajinga wengi...
Katika hotuba yake aliyoitoa, Obama ameunga mkono ndoa za jinsia moja. Hii imemfanya kuwa Rais wa kwanza wa Marekani kuunga mkono ndoa za jinsia moja.
Katika hotuba hiyo, Obama alisema:-
"At a...
Kuna msg napokea mara kwa mara. Huwa zinasema ''mlio wangu niliochaguwa umewekwa upya''. Mwanzo i did'nt care. Coz sikuwahi kujiunga na hizo huduma. Siku moja nikaona msg ''mlio wako uliochaguwa...
Eti, wakazi wa moshi vijijni wanamlilia Dr. Chami kwa kukosa uwaziri, eti aliwafanyia makubwa kwa kutandaza lami kwenye barabara za jimbo lake zima. Uru, Kibosho, Old Moshi na kwingineko. Waandaa...
Mimi nimemaliza form six mwaka huu na nimepata division 3 ya points 17 nina E ya geography,E ya Economics na F ya Math's nauliza kwamba naweza kupata chuo kwa kiwango hicho cha ufaulu
Maji ya chupa ya Penguin na Pangani inasemekana ni salama lakini lable zinatoa mwelekeo tofauti. Moja inaonesha tarehe ya kwisha muda ni Dec. 2010 na nyingine inaonesha Jan. 2012. Katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.