Nimesikitishwa sana na kibonde na clouds fm kuhusu mbunge nasari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimesikitishwa sana na kibonde na clouds fm kuhusu mbunge nasari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JATELO1, May 10, 2012.

 1. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Wanajf,
  nimesikiliza kipindi cha jahazi cha clouds fm ambapo leo topic ilikuwa inahusu hotuba ya mbunge joshua nasari. Kilichonisikitisha sana ni kauli ya kibonde kuhusu nasari. Kibonde ameonekana kama kesha muhukumu nasari na anachoamini kwake ni kwamba nasari haweyi kupewa nafasi yoyote ya kusikiliywa kwasababu ya kauli yake. Kibonde anasema na kusisitiza kwamba anayepaswa kupewa nafasi ya kuelezea jambo hili ni mwanasheria tu na nasari hana haja ya kupewa nafasi japo watangazaji wenzake wamejaribu kumsisitiza kwamba kuna haja ya kumsikiliza nasari naye lkn kibonde anaonekana tayari ana majibu ya kitu gani kifanyike kuhusu nasari. Na hapo ndipo ninapokosa logic ya kwanini wanamwita mwanasheria redioni wkt kibonde tayari ana majibu.

  Je ni ufafanuzi upi zaidi anaohitaji kutoka kwa mwanasheria?

  Je ni mara ngapi tumewahi kusikia kauli kama hizi ktk tanzania? Je kuna haja ya kutoa hukumu kabla ya muda?

  Nawasilisha.
  Telo.
   
 2. M

  MAPE2012 Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kibonde siku zote ni mropokaji ndo maana wengi tunamdharau
   
 3. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Naminimemskia naomba kufahanu katika kampeni za Arumeru kina hata suku moja walimlusha kama mgombea? Na kauli za lusinde walisga hata play katika kipindi chake cha jahazi?
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  anatetea ulaji tu.
   
 5. theHAVARD_product

  theHAVARD_product JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 292
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  nilivyosoma tu...KIBONDEnikajua ***** tuuh...:nerd::nerd::nerd:
   
 6. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hivi Jamani hata hivyo, kuna tatizo gani mtu kutoa kauli ya kujitenga. Nahisi Kama Mbowe ndio alikurupuka kumuambia Nasari ametoa kauli ya kitoto.

  Kama wazinzibar wanazungumzia kujitenga, kwa nini sehemu nyingine za Tanzania zisizungumzie kujitenga? Huyu Kijana anahoja ya msingi na watanzania tunapaswa kuitafakari inaweza ikawa ni the best option for us, especially kama Matakwa ya Wananchi kwenye mchakato wa Katiba na Uchaguzi wa 2015 hayataheshimiwa.

  Utawala wa nchi hii chini ya Uongozi wa CCM umeshindwa kuwaletea watanzania tija katika umoja wao, Hata wazanzibar wanapopiga kelele za kutaka kujitenga ni kwa sababu wanaona kwamba Muundo wa Serikali ya Muungani hauwaletei tija,
  Hivyo kama sehemu yoyote ile ya Tanzania inaona inaweza ikasimama yenyewe nje ya Ushenzi unaofanyika ndani ya Jamuhuri nawashauri waendelee kufikiria kujitenga.
   
 7. i

  ibange JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kibonde nadhani alikuwa anautafuta ukuu wa wilaya hawajampa lakini hajakata tamaa. Niwe mkweli namchukia sana
   
 8. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Heri ukimwi kuliko kibonde.
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  salam put this idiot in his place kwenye kipindi cha mkasi,alimuuliza wewe ni ccm?mijicho ikamtoka kwa kigugumizi akajibu hapana
   
 10. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kibonde ni gamba la kichovu na ndiyo linajipenyeza kwenye issue ya Mh:saaaaana. Akiibuka kitaa 0718yake inapigwa mgawo.
   
 11. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kumbe mgonjwa!!! Mpotezeeni.pengine network zinapanda na kushuka.
   
 12. The Stig

  The Stig JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 885
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 80
  Kibonde ni hopeless case
   
 13. N

  Noboka JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 1,145
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Sasa nimeamini Nasari ni kiboko yao, hizi kelele zote tunazopiga humu je wameru wenyewe mnafikiri wanalionaje? kama watu wanakufa, ardhi inachukuliwa, na kumbukeni walishawahi hata kwenda UN enzi hizo kudai uhuru wa Meru, sasa mnashangaa nini?
   
 14. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ukitaka kujua anao au hana nwambie asinyoe utaprove mkuu
   
 15. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Looh..kazi kweli kweli.. Mimi sikusikiliza hicho kipindi. Hawa ndo Watangazaji wetu!!. nadhani kwa ufahamu wangu wanahabari wote wanatakiwa kuripoti matukio bila kushabikia upande wowote kisiasa, kijamii na kadhalika. Hii ina maana kama kuna pande zinazotoa maelezo mkinzano mwana habari anatakiwa kuripoti kauli ya kila upande ( bila kuelezea hisia au msimamo wake- balanced and unbiased reporting ) ndo maana ya demokrasia na vyombo vya habari vinginevyo vyombo vya habari /wanahabari vitakuwa vinahuku watu..kazi ambayo si yao na watanzania watashindwa kufanya maamuzi yanyotokana na taarifa hizo. Kama alifanya hivyo basi anatakiwa "aende akaombe kazi ya uhakimu kata ya kawe".. na Clouds wanatakiwa wampe karipio kali kwa kuelezea hisia zake badala ya kuripoti matukio!!!!!
   
 16. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  ulaji gani huo wkt ukuu wa wilaya ameukosa. Kibonde anasahau kwamba huo unga anaoupiginia mwisho wake ni 2015?
   
 17. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,800
  Likes Received: 17,886
  Trophy Points: 280
  Ile Mixtape ya Antvirus ya Sugu na Mapacha ni jibu tosha juu ya ufala wa Kibonde
   
 18. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  una maana anaumwa ndiyo maana anaongea hivyo?
   
 19. k

  kkaseza Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heri KIFUA KIKUU na UKIMWI kuliko KIBONDE

  Namchukia sana huyu KIBONDE
   
 20. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  obama karuhusu kibonde milango ipo wazi
   
Loading...