Wazanzibari wakimbizi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibari wakimbizi!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ileje, May 11, 2012.

 1. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni! Hivi inaingia akilini kuwa kuna Wazanzibari wanaishi Mogadishu - Somalia kama wakimbizi kwa miaka 11 sasa tangu 2001 eti kwa kuhofia maisha yao na vurugu za kisiasa Zanzibar! Au wakimbizi hawa wana malengo ambayo hatujabaini ya kupata mafunzo maalum kutoka kwa Al Shabaab?
   
 2. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wanawapenda al shabab
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,422
  Likes Received: 393
  Trophy Points: 180
  wazenji hawaeleweki,
   
 4. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Sikuwa na taarifa hizo
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mafunzo kama haya:

  United States military used to teach its future leaders a ‘total war' against Islam. According to a story revealed by Wired.com, the U.S. military taught its future leaders that a "total war" against the world's 1.4 billion Muslims
  Source: 'Hate Islam': US Military | Saach TV
   
 6. m

  mzaire JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hao walitayarishwa tokea zamani kwenda Zenji kuikomboa ikiwa serikali ya Muungano wa Tanzania itafanya ukaidi wa kuvunja muungano, Tusubiri tutaona.

  Kuna harakati za kujiandaa na jihadi dhidi ya Tanganyika ktk kuvunja muungano, pamoja na kuchukua mafunzo ya kujitoa muhanga, mapigano ya mitaani na kuvizia na hata kuripua taasisi muhimu za Tanganyika ili kusisitiza madai yao ya uhuru wa Zenji.

  Kwa hiyo Watanganyika tujiandae na uasi mkubwa kutoka Zenji au Tuukatae muungano kabla ya kutokea makubwa yenye madhara na sisi.
   
 7. Mkereketwa_Huyu

  Mkereketwa_Huyu JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 5,115
  Likes Received: 1,206
  Trophy Points: 280

  Tatizo kubwa la wazenji ni kwamba wengi wao hawakusoma na wana akili finyu. Sasa jiulize; mtu mzima na akili timamu eti unakimbilia Mogadishu kuepuka fujo na vurugu Zenji, kwa msingi upi? Mogadishu ni sawa na Kosovo tena ni mara 50 zaidi ya zanzibar kwa maisha bora. Kuchinjana na kulipuana bila msingi wowote ni jambo la kawaida kule while in zanzibar hakuna ujinga kama huu. Kama ni mbinu za kigaidi sawa, ila sioni mtu mwenye akili timamu akimbilie Somali kutafuta maisha wakati wasomali hao hao wanakimbia kwao kuja Bara siyo Zenji kutafuta maisha bora. Anyways, kwa Mzanzibari inawezekana maana asilimia kubwa yao ni mazezeta! Hii siyo kashfa bali ni ukweli mtupu, na wazenji wengi ndivyo walivyo, wanapenda kulalamika lakini hawajui wanalalamikia nini. Kweli huko Mogadishu kazi ipo maana mazezeta wamekutana sijui nani anamuongoza nani, pananoga hapoooooo.
   
Loading...