mwekezaji kumbe mwizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwekezaji kumbe mwizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by yaser, May 18, 2012.

 1. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Dah siku ya leo kwangu iliisha kinamna yake kabisa coz ilikua ya mshangao kidizain.leo wakat natoka ktk michakato yangu km mida ya saa 10 hivi nkapita maeneo flani ya sukari house pale posta, opposite yke kuna bank moja ya standard chatered nkakuta kuna watu wengi pale nje nkaona sina haja ya kusimuliwa ni heri nkajionee mwenyewe ndipo nlipomkuta jamaa mwenye asili ya kiasia ila kwa muonekano wa faster anaonekana km muhindi akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi ndani ya ATM,kumbe jamaa alikua ni mwizi wa siku nyingi akawekewa mtego ndio leo kanasa.dah noma jamaa analia ile mbaya.na kwa muonekano wake ukiambiwa ndio mwizi aisee huwezi kuamini.dah inatia hasira sana hawa jamaa ndio waajiri wetu kumbe ndio wezi namna hii, mpaka ktk ATM?
   
Loading...