Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
CDM ni chama kikubwa cha upinzani kilicho HAI kishikacho kasi ya pekee. Hivi juzi kwenye mkutano wao Arusha Mh. Nasari alitoa kauli ambazo kimsingi si zenye kujenga Chama wala Taifa, lkn kwa NIA njema Mh. Mbowe aliipinga ile kauli ili kurudisha mori kwa Watanzania wenye mapenzi mema na chama chao.
Tatizo langu ni pale watu wanapotetea kauli ya Mh.Nasari na kutaka kuondoa utata kwamba Nasari hakukosea;
sasa nashindwa kuelewa mwataka kutuambia Mh.Mbowe kakurupuka kwa kubatilisha kauli ya mpiganaji wake?