DAWASCO: dawa imezidi, maji yameoza au sasa dawa iko sawa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DAWASCO: dawa imezidi, maji yameoza au sasa dawa iko sawa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JamiiForums, May 17, 2012.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #1
  May 17, 2012
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,091
  Likes Received: 2,230
  Trophy Points: 280
  Posted by Mwanamayu | May 14, 2012

  Hawa DAWASCO siwaelewi kwani toka last week nikifungua bomba la maji ya DAWASCO nasikia harufu sasa sielewi kama dawa imezidi, au hizi mvua zimeingiza uchafu kwenye maji, au sasa maji yanakuwa treated sawia. Au ndio ile dawa iliyokuwa kwenye yale mapipa yaliyofungwa kwa 'nylon'?

  Tusije tukaumizana jamani, DAWASCO!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Sure!!
   
Loading...