Nape Nnauye: asema ni Viongozi 6 tu wa CCM ndio waliohama chama

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
images
wana Jamvi
jana ktk taarifa ya habari ya TBC saa mbili usiku nilimsikia kiongozi Nape Nnauye akiwaeleza waandishi wa habari kuwa,mpaka sasa viongozi wa CCM waliohama ni 6 tofauti na vyombo vya habari ama wajumbe humu JF wanavyotueleza

kama hili lina ukweli ni vyema kwa wale wenye data za uhakika juu ya idadi kamili ya viongozi wa ccm walio itikia slogan ya VUA GAMBA VAA GWANGA kwa majina tuwajue.
 
hivi wewe nape sasa hilo ndo li laptop gani ..lap top kilo 5 bana...hivi macbook air huzioni au unaogopa bei...hahaaaa
 
Back
Top Bottom