Kila m2 yupo bize na harakati za kutafuta riziki asilimia kubwa ya watu hasa vijana hawana habari juu ya mkutano huo. kwa ufupi raia wapo ktk mishemishe za kila siku za kusaka mahela
Thursday, 24 May 2012 22:23
By The Citizen Reporter
Dar es Salaam. Around 100 people currently employed by Barclays Bank Tanzania will lose their jobs by the end of the year following a...
Wamesahau kuwa watoto wao wanawashindisha Madrassa kuliko Shuleni wakitaga wanakuja na hoja dhaifu kama hizi.
Wazanzibar mnajitia aibu jamani badilikeni
Wadau jana JICHO PEVU waliweka ule uchunguzi wa madawa ya kulevya yaliyotingisha kenya,lakini wakati habari inatangazwa stima ilizimwa jijini na hata baada ya kuweka video ktk mtandao wa youtube...
Heshima Mkuu,
Kamanda James ole Millya akiongozana na Makamanda wengine Kamanda Mawazo (diwani wa CCM wa kata ya Sombetini aliyejiunga na CDM), pamoja na mjumbe wa zamani wa UVCCM Arusha Kamanda...
:cool2: Wanajamvi sisi huku moshi wamekata umeme mida hii nahofia kutoutazama mkutano wa makamanda jangwani,naomba MAGAMBA wawe wastarabu kwani hawawezi kuzuia moto wa mbadiliko kwa hila za kitoto...
NASEMA kama wewe hujapata cheo katika nchi hii basi ujue una tatizo. Hivi vyeo vyote hivi katika nchi hii bado wewe hujapata hata kimoja? Tangu ubalozi wa nyumba kumikumi hadi hivi vya juu kabisa...
PakaJimmy kafiwa na baba mkwe na hivi sasa yuko safarini kuelekea Mbeya msibani. Kwa udau wake mkubwa hapa JF nimeona niwajulishe.
Mungu ailaze pema roho ya baba mkwe.
Jana jioni kulikuwa na vituko cha aina yake ktk kata ya Kihonda Manispaa ya Morogoro. Wakazi wa Kihonda walivamiwa na kundi la wanafunzi wa vyuo vikuu vya Mzumbe, SUA, Jordan na Morogoro Muslim...
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wake, Dk Willbrod Slaa leo wanatarajiwa kuhutubia wanachama na mashabiki wa chama hicho katika mkutano mkubwa uliopangwa kufanyika katika...
wabunge wa upinzani na wale wa chama tawala nchini Ukraine wamechapa makonde "live" ndani ya mjengo wa bunge ktk kile kilichodaiwa ni kupinga muswada uliowasilishwa bungeni hapo kuhusu kutumika...
Wanajamvi,
Kuelekea mkutano mkuu wa leo pale Jangwani napenda kuwaasa viongozi watakaohutubia pale Jangwani kuepuka KAULI TATA zitazohitaji utetezi mwingi ili zieleweke machoni pa wananchi...
Niko kwenye kikao so sijui nini kinaendelea ila kuna mtu kapita hospitali ya mkoa niliko anasema madaktari wamegoma, hivi inatokea na maeneo mengine pia au?
Ninasikitishwa sana na mawazo finyu ya hawa wanojiita viongozi wa cc mafisi, wanaposema au wanapowazuia wanachama,wapenzi wa cdm kwenda kwenye mkutano kwa pamoja na kusema ni maandamano. Nakumbuka...
Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri hivi karibuni yametoa ahueni kwa taasi za wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na hasa Idara ya Uhamiaji na Zimamoto. Aliyekuwa Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi...
Mkazi wa magereza manispaa ya Mtwara Rukia Vulai,alilazimika kujifungua ndani ya pikipiki ya miguu mitatu maarufu kama bajaj baada ya wauguz waliokua zamu kumtolea lugha chafu.
Mama huyo...
wakati ambapo yamebakia masaa machache CDM iteke dsm tunawasihi wananchi wa dsm msituangushe kwa sababu A.town na R.city 2shamaliza bado nyinyi. Ili ulimwengu ujue TZ inaelekea kwenye mabadiliko...
madaktari toka mkoani mara ....wameamua kugoma....baada ya kutokulipwa malimbikizo yao ya mishahara na
malupulupu pamoja na posho zao zaidi ya miezi miwili.....hospitali ziliazogoma ni pamoja...