mimi naitwa Leila Rashid a.k.a Malkia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mimi naitwa Leila Rashid a.k.a Malkia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, May 25, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  huyu mdada anatangaza tangazo la uzaz wa mpango huku akijiita mke wa pil wa mfalme(mzee Yusuph).kumbe uzaz wa mpango ni kwa wakina mama tu...
  Jiamini
   
 2. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Mh, ngoja waje wafuasi wa sera ya kila mtoto anazaliwa na gunia la pesa (riziki yake).
   
 3. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  we mkuu ulitaka iweje...?! ....
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,963
  Likes Received: 1,852
  Trophy Points: 280
  ni upuuzi kuwekwa kwene tangazo ili hali ni muhanga wa ndoa ya mitala ambayo inawatoto zaid ya wawil so sidhan kama anafikisha aujumbe kusuduwa hapo.
   
 5. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Tangazo lile lipo ilimladi tu,. Matangazo mengine hayaendani na ukweli
   
 6. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Ukweli kwamba jamii ninyi za kitanzania zinachukulia mwanamke ni mtu wa kuendeshwa na mwanamme anavyotaka kwa kutumia tangazo hilo linamuonyesha mwanamke mtu ambaye ana maamuzi juu ya familia aitakayo ambayo hata kuwa na uwezo wa kuwa hudumia.Ni hivyo ni navyo fahamu.
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  si bora huyo......

  Leo nimeona tangazola model, akiwa na remtula, na magauni yao ya harusi hajaolewa, ana mpenzi, anatarajia kuwa na familiaa hivyoameanza uzazi wa mpango mapema kuoanga familia.....

  Sijaelewa kama walikuwa wanatangaza uzazi wa mpanho au line ya nguo za harusi......

  Inakuaje mtu hana mtoto ameanza uzazi wa mpango.......

  Anyway sijui ulaji wa nani huu.... Nikiliona tena hilo tangazo nitasikiliza jina la model vizuri
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kawekwa baba'ke Banana, anasema ana watoto watano wa nje ya ndoa. Hamshangai hilo, mnashangaa mtu yuko kwenye ndoa kihalali?
   
 9. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu rekebisha sio mkuu wa pili ni mke wa kwanza aka mke mkubwa
   
 10. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  .
  Mkuu Mbako hebu rudia kusikiliza vizuri hilo tangazo.

  Nafikiri atakuwa anasema ni Mke halali wa Mzee Yusuph ... na sio Mke wa Pili.

  Sasa kuna kamsemo kanasikika mitaani siku hizi watu wanasema ... eti fulani ni mke halali wa fulani! ... nafikiri ungeuliza tulijadili hili
  .
   
 11. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,479
  Likes Received: 12,758
  Trophy Points: 280
  Mke wa pili au anasemaga mke ,mkubwa ?
   
 12. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nimelisikiliza vzuri, huyu bmdada anajiita yeye mke mkubwa wa mfalme...akimaanisha mfalme ako na wake wengn.hoja yangu ikawa kwamba,je uzaz wa mpango unawahusu wanawake tu?
   
 13. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Je na yule kiongozi fulani aliezaa na mke wa mtu bila kuoa i(anaitwa MCHUMA WAKE) inakuwa vipi hapo? tena ni kiongozi wa dini hapo hapo anatarajia ............ si afadhali huyo ni mke wake wa pili kihalali na bado ana nafasi ya kuongeza wengine wawili bila khofu, hvi wewe inakuuma nini? alieoa wake wawili na yule anazini nje na kuzaa watoto WA HARAMU ambao baadae wanakuja kuziba rizki za wale watoto halali pindi baba anapokufa inakuwaje hapo uzazi wa mpanho umekamilika?
   
 14. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Swali hilo muwaulize walotayarisha kipindi, na je yule flora mbasha mbona hamumsemi? anaejitakama kwamba YEYE AMEPANGA ! hivi kweli Bin adam anaweza kujipangia ? makubwa haya !
   
Loading...