Kwenda kuangalia mpira,kusikiliza hotuba ni maandamano

Kuntakint

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,767
1,525
Ninasikitishwa sana na mawazo finyu ya hawa wanojiita viongozi wa cc mafisi, wanaposema au wanapowazuia wanachama,wapenzi wa cdm kwenda kwenye mkutano kwa pamoja na kusema ni maandamano. Nakumbuka au niseme hivi tunapoenda, kutoka uwanja wa Taifa kwa makundi hata ikibidi kwa kukimbia na kuimba hadi katikati ya jiji bila ulinzi wa polisi je huwa ni maandamano. Kwanini cc mafisi hawajifunzi hawa viongozi wanofanya hivi kuwanyima wananchi uhuru wao itakuwaje hapo chama chao au sheria (katiba) mpya itakaposimamiwa sawasawa. Je ingekuwa ni cc mafisi ndio wanafanya mkutano wangefanya ivyo. Nasema yana mwisho na sio muda mrefu Watanganyika watakombolewa.
 
Kama yangekuwa sio maandamano wasingeombea kibali.

Nadhani kama kila mwana Chadema angetoka kwake kwa mguu kimya kimya kuelekea jangwani lisingekuwa tatizo.
 
Kama yangekuwa sio maandamano wasingeombea kibali.

Nadhani kama kila mwana Chadema angetoka kwake kwa mguu kimya kimya kuelekea jangwani lisingekuwa tatizo.

kwanini polis waogope majukumu yao,mishara ni ya nini?na je haya maandamano kwa CHADEMA tu ndio yanakua nongwa?why not ya simba?why not ya uvccm waleo walitoka udsm?.....huku ni kuhaha tu,mi nasema hata iweje lazma kutapambazuka tu
 
Naomba tujiulize ni mala ngapi humu huwa kuna thread zinaanzishwa na wadau wakilalamika na kuomba msaada juu ya uhalifu na unyang'anyi wa mali zao juu ya makundi ya watu watokao mpirani.?? Mbona polisi kamwe huwa hawazuii watu wanaotoka mpirani kwa kundi kubwa la watu kuandamana na kuimba na kufanya fujo mbali mbali kama kuiba mali za watu wapitamo,kupora watu wapishanao,kuharibu mali za watu kama mabango,kuvunja sait mira za magari,kupiga watu n.k au maandamano yana mana gani??

Kwanin wazuie kwa cdm tu??

OK! wamefauru kuzuia kwenda mkutanoni kwa maandamano je watokapo??
 
Mimi naona kama kuizuia Chadema maandamano ndio inapandishwa chat maana katika sura itaonekana Chadema wanaonewa na Saikolojia yetu mtu anaye onewa na mbabe ndio watu umuonea huruma.

Mfano mzuri ni Wenje alikuwa anaonekana mnyonge sana kwa Masha ikapelekea watu wamuulumie.

Nadhani sisiemu inahitaji wataalamu yaani watu ambao ni very smart technical na wenye ufahamu wa hali ya juu ili wawashauri maana chama ndio kinaenda hivyo.

Yaani hapa chadema wanapeta tu! tena wanapata advantage kutokana na hali ilivyo maana hali ni ngumu kwa watu wengi kuliko wachache so wengi ni balaa hilo.
 
kwanini polis waogope majukumu yao,mishara ni ya nini?na je haya maandamano kwa CHADEMA tu ndio yanakua nongwa?why not ya simba?why not ya uvccm waleo walitoka udsm?.....huku ni kuhaha tu,mi nasema hata iweje lazma kutapambazuka tu

Kumesha pambazuka Comrade weka Siraha (kadi ya kupigia kura) yako pahala pa kufikika,kazi ni moja tu,
 
Nawaonea huruma akina kova na wenzake maana tutaanzanao mwaka 2015 kuwastaafisha kwa manufaa ya umma baada ya nguvu ya umma kuwapeperusha
 
Kama yangekuwa sio maandamano wasingeombea kibali.

Nadhani kama kila mwana Chadema angetoka kwake kwa mguu kimya kimya kuelekea jangwani lisingekuwa tatizo.
Kwahiyo baada ya mkutano watarudi mmoja mmoja tena kimya kimya?
 
Mimi naona kama kuizuia Chadema maandamano ndio inapandishwa chat maana katika sura itaonekana Chadema wanaonewa na Saikolojia yetu mtu anaye onewa na mbabe ndio watu umuonea huruma.

Mfano mzuri ni Wenje alikuwa anaonekana mnyonge sana kwa Masha ikapelekea watu wamuulumie.

Nadhani sisiemu inahitaji wataalamu yaani watu ambao ni very smart technical na wenye ufahamu wa hali ya juu ili wawashauri maana chama ndio kinaenda hivyo.

Yaani hapa chadema wanapeta tu! tena wanapata advantage kutokana na hali ilivyo maana hali ni ngumu kwa watu wengi kuliko wachache so wengi ni balaa hilo.

Tatizo JF wameondoa LIKE lkn i like that thanks mkuu
 
Back
Top Bottom