Habar wakuu, leo mida ya mchana nilikuwa hapa monduli mitaa ya darajani pamoja na baadhi ya wazee wa ccm mahali hapa ambapo ktk mazungumzo yetu tulijadili kuhusu hali ya kisiasa hapa nchini...
Tangu kamanda kova atoe tamko kuwa maandamano ya mkutano wa chadema uliofanyika jana hayaruhusiwi. Nimeanza kujiuliza ana weredi gani na kazi yake? Licha ya watu kwenda kwa wing kama...
Kuna wafanyakazi wa kampuni moja. Wapo zaidi ya kumi wamejikuta hela zao zimetoweka katika mazingira ya kutatanisha katika akaunti zao Za NBC. Na kila mmoja kwa wakati wake alijaribu kufuatilia...
Hapo jana kulikuwa na matukio mawili tofauti, Movement 4 change ya Chadema pale jangwani na mechi ya stars na malawi pale uwanja wa taifa, ndg mwana jf ni tukio lipi lilikukosha?
Ndugu zangu,
Kuna wakati nilitua uwanja wa ndege wa Nairobi na kupanda teksi. Nilishangaa sana pale dereva wa teksi alipojitambulisha kwangu kwa kutamka; " I am Peter, and a Kikuyu"
Kwamba...
Ninashindwa kushangaa pindi napoona bigbrother ikiendeshwa huku ikikiuka misingi ya uafrika wake
Hebu wanajamvi tueleweshane,kama AU ambayo ni platform ya masuala ya Afrika inaweza kudhubutu...
Wadau leo ni siku ya tano, hakuna maji, wala tone kwenye mabomba yetu, na sijasikia tamko lolote la DAWASCO.. Kiukweli hali ni mbaya sana kwa wananchi wa kawaida wa maeneo haya.. Tafadhali DAWASCO...
Kwa hali inayojionyesha hivi sasa ni kwamba CCM inaelekea ukingoni kusambaratika na jeneza lao linapigwa randa ili wazikwe in 2015. Kwa mtaji huu, wale viongozi walafi na wanafiki wa CCM watakuja...
Habari wakuu jf!jamani mwenzenu nina swali kwa wale watumiaji wa jiko la gesi,swali ni je?naweza kupikia jiko la gesi afu at the same time liko karibu na jiko la mkaa lenye moto je kuna madhara...
KATIKA HABARI YENU KICHWA CHA HABARI KINASEMA CHADEMA WAJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MKUTANO WAO.
swali langu ni kuwa mna ushahidi gani kuwa waliojitokeza ni chadema peke yao?
kwa nini mmeanza vizuri...
Hili ni geti ambalo lilikuwa lina pingwa vikali na wananchi wa wilaya ya kilombero hususani wakazi wa ifakara Mpaka kidatu kutokana na kutozwa ushuru wa mazao yao ya chakula ndani ya wilaya leo...
After postponing the annual Karibu Travel and Tourism Fair (KTTF), which usually takes place in Arusha during the first week of June, the Tanzania Association of Tour Operators (TATO) is facing...
Jeshi la Polisi nchini limekosa utaalamu wa namna ya kushughulikia mikusanyiko mikubwa na maandamano makubwa hapa nchini. Mara nyingi huibuka na hadithi ambazo haziingii kwenye akili ya mwananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.