Wabunge wachapana makonde "live"..

MTI PESA

Member
Nov 19, 2011
39
8
wabunge wa upinzani na wale wa chama tawala nchini Ukraine wamechapa makonde "live" ndani ya mjengo wa bunge ktk kile kilichodaiwa ni kupinga muswada uliowasilishwa bungeni hapo kuhusu kutumika kwa lugha ya kirusi kama lugha rasmi ndani ya Ukraine ambapo wabunge wa upinzani walionyesha kuupinga vikali muswada huo hadi kufikia kuchapana makonde mazito yaliyopelekea mbunge mmoja wapo kujeruhiwa vibaya kwa kipigo hicho...sijui itakuaje ikitokea hapa bongo dah!..
Source TBC1 Habari
 
Kwa Ukraine, wala sishangai mbona kutwangana Bungeni kwao ni jambo la kawaida sana..............!
 
Mi nataka wabunge wa kambi mbalimbali za ccm wachapane makonde live bungeni.
Pata picha Filikunjombe na Lukuvi wakiwa wanapigana mingumi
 
zipo nyingi sana il e ya somali sioni ila ningeiweka pia hapa yaani nikamchezo kazuri kweli maana hamuwekeani visasi vya kijinga mnamalizana papo hapo kuna nyingine spika anapata kipondo ila sijui nani kaifuta ntaitafuta ntakutumieni mpate ujuzi wabunge wetu watarajiwa
 
tbc wana maana yao kuonyesha hiyo habari. dah! hawa jamaa wanafiki kweli.
 
wabunge wa upinzani na wale wa chama tawala nchini Ukraine wamechapa makonde "live" ndani ya mjengo wa bunge ktk kile kilichodaiwa ni kupinga muswada uliowasilishwa bungeni hapo kuhusu kutumika kwa lugha ya kirusi kama lugha rasmi ndani ya Ukraine ambapo wabunge wa upinzani walionyesha kuupinga vikali muswada huo hadi kufikia kuchapana makonde mazito yaliyopelekea mbunge mmoja wapo kujeruhiwa vibaya kwa kipigo hicho...sijui itakuaje ikitokea hapa bongo dah!..
Source TBC1 Habari

[http://www.youtube.com/watch?v=fadIvRtayts&feature=relmfu]

nguvu ya hoja inaposhindwa hoja ya nguvu ni muhimu
 
safi sana inabidi mawaziri wazembe na wabunge wasiokuwa na tija kwa wapiga kura wao wachapwe kama hivi
hakuna haja ya kubebana kisa chama chama wkt wanatuletea umaskini kila siku
yuko waziri mmoja alihojiwa BBC anasema elimu bure haiwezekani tanzania hata ulaya sio bure nkamshangaa huyu waziri anazungumzia ulaya gani wakati elimu ni bure yangu darasa la kwanza hadi chuo kikuu kwa nchi karibu zote za ulaya.
kwanini tanzania nchi yenye utajiri mkubwa kuliko ulaya elimu isiwezekane kuwa bure?
au kwa vile wao wanapewa mirahaba mikubwa na makampuni ya kizungu huku akisomesha watoto wake nje
kama hawa ndio wa kuwatwanga bungeni live wamekosa adabu na wanatufanya majuha.
 
Fundisho kwa bunge la tanzania kuleta miswada ya ajabuajab me nasema kwenye kudai hak hii ni moja ya mbinu sawaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom