Madaktari wa mkoani mara.......wamegomaaaaaaaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari wa mkoani mara.......wamegomaaaaaaaa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by C Programming, May 26, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,748
  Likes Received: 1,774
  Trophy Points: 280
  madaktari toka mkoani mara ....wameamua kugoma....baada ya kutokulipwa malimbikizo yao ya mishahara na
  malupulupu pamoja na posho zao zaidi ya miezi miwili.....hospitali ziliazogoma ni pamoja tarime,hospitali kuu ya mkoani mara pamoja na manyara

  ssource ni wapo radio
   
 2. z

  zamlock JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  safi sana pale tarime nimetembelea hv karibuni ile hospital imejaa rushwa na haya yanatokana na kukosa malipo yao ni vyema wakagoma ili wapewe haki zao kwa sababu ni kazi wanafanya na wana haki ya kupewa haki zao kama kawaida
   
Loading...