Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Radio mawingu inatutangazia kuwa mkutano wa chadema utarushwa live na ivt get informed accordingly.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kumetokea ajali Bariadi leo asubuhi saa 12, baada ya basi la Super Najimunisa kutumbukia darajani Somanda jirani na kanisa katoliki St. John. Kuna majeruhi kadhaa, na hamna kifo so far...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
lililokuwapo ni waziri huyo kufanyia kazi taarifa zisizo rasmi alizokuwa akipelekewa na Afisa Uhamiaji mkoa wa Dar es Salaam ambazo ni za fitina majungu kwa ajili ya kutaka nafasi jambo ambalo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kumekuwepo na mjadala juu ya ukali wa matangazo yanayobandikwa au kutolewa na vyombo vya habari, kwamba yanakiuka maadili pale yanapotangazwaau kusikilizwa na watu wa rika tofauti au familia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waandishi Wetu Toleo la 240 23 May 2012 Mtandao wa kuwalinda ofisi ya DPP wabainika, udhibiti wafanyika Yadaiwa Ofisi ya DPP inaendesha TAKUKURU kwa mlango wa nyuma WAKATI Mkurugenzi wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimegundua kuwa wafanyakazi wa Tanzania wako katika mgomo baridi(hawafanyi kazi ipasavyo).eg.walimu,wauguzi,na idara mbalimbali za serikali.mungu epushia mbali janga hili.Tafakari chukua hatua.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A THEFT case against CCM cadre Rajab Maranda and five others was yesterday adjourned to June 25, because the presiding Resident Magistrate, Irvin Mugeta, was absent. In the case, Maranda and...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
NINAOMBA WANA JAMII WNIELEZE KWA UNDANI HII KAMPUNI INJIHUSISHA NA BIASHARA GANI MAANA INAONEKA KUNA WATU WENGI WAMEKAMATWA AIRPOTRT YA UK WAKIHUSISHWA NAO:ballchain:
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Napenda kuweka sawa Taarifa ya awali juu ya Taarifa ya msiba na ratiba ya mazishi ya Dokta Kyaruzi kama ilivyoletwa hapa Jamvini awali na Ndg. Pasco wa JF Mazishi ya Dr. Vedasto Kyaruzi...
5 Reactions
24 Replies
5K Views
Wana JF, lengo langu la kuuleta uzi huu ni kuwafahamu madudu wanayotulisha hawa wasichana wa kazi a.k.a Beki tatu kwa malengo binafsi, ili tujihadhari yasije tukuta kama yanayowakuta wengine...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
I salute you all! It’s all about chicken & Chips fried in transformer oil! It is Tanzania’s favorite snacks with fast service, convenient locations, and value for money! Those with extra notes...
3 Reactions
7 Replies
6K Views
Serikali ya China imetoa agizo kwa watendaji wa vyuo vikuu vya umma nchini humo kwa kuhakikisha kuwa hakuna nzi atakayepaswa kuruka ndani ya kampas hizo,na endapo kutakuwa na nzi wanaruka basi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Who owns this short code; I have tried to un-subscribe however seconds after doing so I get another mail about news i never subscribed for..... I want to make a formal complaint to tcra and need...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Netherlands visit an eye opener on oil and gas sector Wednesday, 23 May 2012 21:32 digg Zitto Kabwe GUEST COLUMNIST THE CITIZEN On Monday, in the company of my fellow...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau katika bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mbunge yupi unampa heshima ya kuwa mbunge bora kuliko wote? Vigezo ni uzalendo,kujiamini,kujitoa kwa ajili ya Taifa,msimamo kwa maslahi ya...
0 Reactions
90 Replies
10K Views
Kamati ya bunge ya masuala ya ukimwi imebaini hilo. Hii inatokana na hao wanafunzi kukosa mikopo na mabweni. So mchana wanakuwa darasani usiku Ohio. Kwa wale upande wa wanaume wanalazimika kulala...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na tatizo kubwa barabara ya kutoka bariadi hadi lamadi kawaida unatumia saa moja na nusu kutoka bariadi hadi lamadi kwa wanaoifahamu lakini jamani kwa sasa inasikitisha kwamba unaweza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sikuamini machoni na masikioni baada ya kuhudhuria semina iliyohusisha mawakala kutoka NHC na Wafanyakazi wa St. Johns University of Tanzania a.k.a Mazengo compus. Kilichoniacha hoi ni kwamba...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Jana jioni kulikuwa na vituko cha aina yake ktk kata ya Kihonda Manispaa ya Morogoro. Wakazi wa Kihonda walivamiwa na kundi la wanafunzi wa vyuo vikuu vya Mzumbe, SUA, Jordan na Morogoro Muslim...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimefuatilia taarifa za habari tatu usiku wa leo. Nilianza na ile ya channel 10 ya saa 1 usiku, nikaangalia ya ITV kidogo kabla ya kuhamia kwenye ile ya Tbc1. Kwenye taarifa zote wameripoti...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom