Bajabir, taratibu ndugu yabgu, baadhi ya waislam hawataki kukosolewa, utaitwa msaliti............,
Suala la kufelishwa kwa wazaznibari mimi siliafiki kabisaaaaa,,,,na wasihusishe na uzanzibari wao wala uislam wao,,,,,jaman waislam wangapi tumepita kwenye mikono ya NECTA?????wazenj wangapi wamepita huko????mimi nachukia sana muislam mwenzangu anapolalama eti tunaonewa na kila siku nasema na ntasema sana,,,,mimi ni mwalimu na nnafundisha taasis ya kiislam,,,,,MATATIZO YAPO NDANI YA TAASISI ZETU,,,,SI NECTA ,,,,,wazaz wa kiislam wajipange,,,kuna wazaz hawajafata ripot za watoto zao,,,,hadi leo tena za mwaka jana mwezi JUNE,,,kuna mwanafunz wangu mmoja babake hajui anasoma shule gani na form ngapi(si ucheshi huu),,,,mzaz huyu nae atasema waislam wanaonewa mwanaye atakapofeli,,,,,nimesoma islamic school na nnafanya kazi huko,nazijua ndani nje,,,,hakuna wa kumlaumu,,,,jaman msimlaum ndalichako jamani,,,,wazenj uvivu wenu wa kusoma msiuhushishe na muungano,msiuhushishe na mambo ya ukristo,jaman someniiiiiii,ukisoma utafaulu tu,,,hakuna miracle,,,,EDUCATION IZ WAR,,,,pambaneni
Tumeshindwa kukaa chini na kutafakari nini kimesababisha kufeli kwao na sasa wanalalama kila uchao. waislamu wapo ambao walikomaa wakafaulu lkn tukiendelea kupaka hina ktka miili yetu lini na saa ngapi utasoma. lkn pia wakumbuke waliofeli si wao tu wapo pia wakristu na hata wasio kuwa na madhehebu nao pia walifeli, je nao wamlaumu nani? tafakari
Tatizo hawajui kucheat, wanafunzi walipema majibu ya mitihani na kila mmoja kuandika sawa na wenzake... aibu mpk spelling zilizokosewa nao walinakiri hivyo hivyo! Shame kwa waalimu wa zenj!
Mkuu hawa watu watakuwa ni vichaa. Wakati wa kusahihisha mitihani kinachoonekana ni nambari ya mtihani ya mtahiniwa na siyo jina lake. Sasa iweje wanafunzi waislam wasahihishwe vibaya wakati hata majina yanakuwa hayapo? Badala ya kukaa wakilalamika ovyo ni bora wakajitahidi kusoma, wasitegemee elimu ni ya mteremko kiasi hicho.
Mkuu Bajabiri taratibu wenyewe wakikusikia, hawapendi kuambiwa ukweli na hawana wivu wa maendeleo ya elimu.