Jicho Pevu: Parawanja la Mihadarati Part 3 -YAHUJUMIWA

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Wadau jana JICHO PEVU waliweka ule uchunguzi wa madawa ya kulevya yaliyotingisha kenya,lakini wakati habari inatangazwa stima ilizimwa jijini na hata baada ya kuweka video ktk mtandao wa youtube nayo imehujumiwa

kama kuna mtu ana video yake [h=1]Jicho Pevu: Parawanja la Mihadarati Part 3[/h]basi tunaomba mtuwekee ili nasi tufaidi uhondo huo

Last edited by a moderator:
Mohhamed Ali namkubali. Labda takukuru wam ajiri kufanya uchunguzi tuhuma za ufisadi maana Hosea ameshidwa kazi. Makala inaendelea leo baada ya habari. Ali is real proffesional and has got guts. Wandishi habari Tanzania kazi kwenu.
 
KAKA
watanzania hatuwezi kuitetea nchi yetu kama hawa jamaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom