Dar-es-salaam msituangushe

nsami

Senior Member
Jun 11, 2010
175
8
wakati ambapo yamebakia masaa machache CDM iteke dsm tunawasihi wananchi wa dsm msituangushe kwa sababu A.town na R.city 2shamaliza bado nyinyi. Ili ulimwengu ujue TZ inaelekea kwenye mabadiliko makubwa ya kiutawala.wakuu nawasilisha.
 
Usihofu...jana tulikuwa na rehersal pale Mahakama kuu....ilikuwa kama hivi:

Mnyika-juu-juu.jpg
 
Tena nashukuru inarushwa live ili mkwara uwafikie hata waliojificha magogoni!
bora hilo mkuu maana nina wasiwasi na watu wa Dar es Salaam. Wanaongea sana lakini kwa vitendo na uelewa ni kama Mzee Akilimali na wenzake :)
 
Mie nitashiriki kama tu Slaa atatembea kwa miguu kutoka Kawe , Mbowe atatembea kutoka Temeke na safari atatembea kutoka Ubungo, HAPO OOOOOH tutakuwa wote! la sivyo nitawaona wanafiki tu !
 
bora hilo mkuu maana nina wasiwasi na watu wa Dar es Salaam. Wanaongea sana lakini kwa vitendo na uelewa ni kama Mzee Akilimali na wenzake :)

Kwa hiyo wachaga tu ndio wenye akli sio? ahaaa ndio maana wanasema M4C movement for chagas ohooooooo
 
Kesho Cdm jiandaeni na aibu ya mwaka,hapa mji wa wajanja nani aje kwenye izo vurugu!
Labda watu kutoka kimara.
 
Nimeshaandaa bango langu majira ya saa tano nitajimuvuzisha maeneo ya Kawe tayari kwa maaandamano....
 
bora hilo mkuu maana nina wasiwasi na watu wa Dar es Salaam. Wanaongea sana lakini kwa vitendo na uelewa ni kama Mzee Akilimali na wenzake :)
Kweli mkuu, DSM wanajifanyaga ma-time taker sana, lakini kwa la kwesho sina mashaka na turn up ya watu. Tutafunika bila shaka.
 
wakati ambapo yamebakia masaa machache CDM iteke dsm tunawasihi wananchi wa dsm msituangushe kwa sababu A.town na R.city 2shamaliza bado nyinyi. Ili ulimwengu ujue TZ inaelekea kwenye mabadiliko makubwa ya kiutawala.wakuu nawasilisha.

mkuu uzuri ITV itakua live
 
Kesho Cdm jiandaeni na aibu ya mwaka,hapa mji wa wajanja nani aje kwenye izo vurugu!
Labda watu kutoka kimara.

Usijidanganye, watu tumepania ile mbaya kuwahi pale Jangwani kesho. Kama uamini angalia runinga yako kesho!!!

Tiba
 
Kwa hiyo wachaga tu ndio wenye akli sio? ahaaa ndio maana wanasema M4C movement for chagas ohooooooo

Ndugu yetu una tatizo gani na jamii ya wachaga?unaona kipi bora tukatawaliwa na mchaga ama tukatawaliwa na mkikuyu toka Kenya?
 
Back
Top Bottom