Umeme wakatwa moshi kisa m4c jangwani dar. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wakatwa moshi kisa m4c jangwani dar.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RC., May 26, 2012.

 1. R

  RC. JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 446
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :cool2: Wanajamvi sisi huku moshi wamekata umeme mida hii nahofia kutoutazama mkutano wa makamanda jangwani,naomba MAGAMBA wawe wastarabu kwani hawawezi kuzuia moto wa mbadiliko kwa hila za kitoto namna hii.TURUDISHIENI UMEME TUONE UKOMBOZI WA TAIFA LETU JANGWANI DAR.
   
 2. s

  slufay JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hakuna kama ccm viva sisiem, chama bora,,,, mnapenda majungu sana wanajf
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mbona mapema? ungeuliza emergency tanesco ujue tatizo hasa!
   
 4. Asango

  Asango JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 234
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mawazo mgando huzaa maendeleo chakavu.km tanesco wanamarekebisho waache kwasababu cdm mna mkutano.km umekosa uzi wa kutupia katafute kaz za kukuingizia kipato.
   
Loading...