Mkutano wa leo jangwani, viongozi CDM epukeni kauli tata.

Bado Kidogo 2015

JF-Expert Member
May 24, 2012
207
78
Wanajamvi,

Kuelekea mkutano mkuu wa leo pale Jangwani napenda kuwaasa viongozi watakaohutubia pale Jangwani kuepuka KAULI TATA zitazohitaji utetezi mwingi ili zieleweke machoni pa wananchi.

Ieleweke leo ni kama siku ambayo wana D'Salaam wanasubiri ukombozi hivyo haihitaji kuwachanga watu. Kinachotakiwa ni kuwa na shabaha kubwa katika uhutubiaji wa leo.

Kila mtu atayepata nafasi ya kuongea, aongee kwa kadri ya uwezo wake wote ili ahakikishe ujumbe wake umefika vizuri na kupokelewa vizuri.

Ikumbukwe umati utakahudhuria leo utatoa message kubwa sana kwa waliobaki majumbani na hata dira kwa ujumla kwa jiji la D'Salaam.

Nihitimishe kauli kama za kina Nassari Arusha hazihitajiki leo, magamba yanawasha sehemu nyingi ni kuchagua sehemu gani tu ya kuchuna. Msimpe Nape cha kusema baada ya mkutano huu.

Nawatakia kila la kheri wana D'Salaam wote, wito wangu mhudhurie bila kukosa ili kutuma message hapo Magogoni hali ni mbaya 2015.

Ni mimi Bado Kidogo 2015.
 
Wanajamvi,

Kuelekea mkutano mkuu wa leo pale jangwani napenda kuwaasa viongozi watakaohutubia pale jangwaani kuepuka KAULI TATA zitazohitaji utetezi mwingi ili zieleweke machoni pa wananchi.

Ieleweke leo ni kama siku ambayo wanaD'Salaam wanasubiri ukombozi hivyo haihitaji kuwachanga watu. Kinachotakiwa ni kuwa na shabaha kubwa katika uhutubiaji wa leo.

Kila mtu atayepata nafasi kuongea kwa kadri ya uwezo wake wote ili ahakikishe ujumbe wake umefika vizuri na kupokelewa vizuri.

Ikumbukwe umati utakahudhuria leo utatoa message kubwa sana kwa waliobaki majumbani na hata dira kwa ujumla kwa jiji la D'Salaam.

Nihitimishe kauli kama za kina Nassari Arusha hazihitajiki leo, magamba yanawasha sehemu nyingi ni kuchagua sehwmu gani tu ya kuchuna.

Nawatakia kila la kheri wana D'Salaam wote, wito wangu mhudhurie bila kukosa ili kutuma message hapo Magogoni hali ni mbaya 2015.

Ni mimi Bado Kidogo 2015.

ujembe umefika kamanda. Tupo pa1

peoples....\/
 
Mtu akiamua kukuwinda atakupata tu hata ukijaribu kutumia mbinu gani hawashindwi kusema mmechochea machafuko these people are idiot.....
 
Mtu akiamua kukuwinda atakupata tu hata ukijaribu kutumia mbinu gani hawashindwi kusema mmechochea machafuko these people are idiot.....

Kisuma kuwa maisha ni magumu kwa wananchi, serikali inakumbatia ufisadi na mengine mengi kama itakuwa ni kuchochea vurugu basi wananchi ndiyo watakaoamua.
 
Tuko pamoja sana comrade ujumbe wako umeeleweka vizuri kabisa image itakayoonekana hapo ni lazima isadifu uchaguzi ujao Mungu awape hekima wanenaji wote wa leo pia awape subira wasikilizaji wote....Mungu anibadiliki na mimi pia Amin
 
Amini, naomba dua yako iwe makburi machoni pa Mola muweza ya yote ili 2015 zimwi linyonyalo damu tulitupilie mbali.
 
Kauli TATA!! Mie sijaelewa kauli tata unamaanisha nini.. Ni wazi kwamba kauli tata Kwa mtazamo wako ni zile zitazoonekana kukera CCM Na serikali yake of which ndicho kitachotokea. Naamini asilimia 99.9999 ya kitachoongelewa hakita ifurahisha Ccm Na serikali yake.. Sasa labda ufafanue gravity ya speech unataka iweje au nikusaidie uweke agenda za kitachozungumzwa Kama hivi
1. Jamani wananchi fugeni kuku.
2. Maziwa ni chakula bora si ndio eee
3. Tuwe tunafagiaga barabara zetu wajameni
4. Kufua nguo ni Afya
5. Maralia haikubaliki

Nadhani maada zikiwa hizi mtoa Hoja utakuwa Na furushi la furaha.. Shitt!!
 
Hapana Salma2015 umenielewa vibaya kauli tata nimesema kama ile ya Nassari aliyoisema kule Arusha kuwa sijui Arumeru nchi, mimi Rais hazina mantinki na zinafanana na hizo.

Magamba yanawashwa sehemu nyingi tu, nikasisitiza ni kuchaguz sehemu gani ya kuchuna tu mkuu.

Pitia upya post zangi katika uzi huu uone mawe niliyotupia, sifagilii uoga wala ufisadi.

Bado Kidogo 2015.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom