Mama mjamzito akifungua kwenye BAJAJ

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Mkazi wa magereza manispaa ya Mtwara Rukia Vulai,alilazimika kujifungua ndani ya pikipiki ya miguu mitatu maarufu kama bajaj baada ya wauguz waliokua zamu kumtolea lugha chafu.
Mama huyo alisaidiwa na bi Happy Severini ambaye ni mwandish wa Nipashe,pamoja na kwamba bi Vulai alifika tangu saa 4:20 asbui huju akiwa na uchungu,alikumbana na matusi ya nguvu toka kwa muuguzi bi Grace Semwenda,ingawa watu waengine walisisitiza kuwa Semwenda amsaidie alizid kutukana na kuwaambia kuwa yeye hahusiki na akina mama wajawazito,hivyo bi Severini alilazimika kumpokea mtoto ambae alizaliwa ndani ya bajaj

sosi :mwananchi
 
Enzi zile nape nnauye ana akili timamu aliwahi kuhurumia chama chake kwa kuwa familia ya kambale, baba, mama na wana kila mmoja ana ndevu! Sasa kuanzia rais, waziri, rmo, dmo, daktari mkuu, muuguzi mkuu wote hawawajibiki! Nani atamuwajibisha huyu bibie?
Pole ya mhanga!
 
Halfu nataka kufaham bajab za jk ziko wapi???zimeanza majukumu???
 
Enzi zile nape nnauye ana akili timamu aliwahi kuhurumia chama chake kwa kuwa familia ya kambale, baba, mama na wana kila mmoja ana ndevu! Sasa kuanzia rais, waziri, rmo, dmo, daktari mkuu, muuguzi mkuu wote hawawajibiki! Nani atamuwajibisha huyu bibie?
Pole ya mhanga!

lakin nape na makamba si ndo tegemeo la chama
 
hongera mama kwa kujifungua salama pamoja na kashfa za mkunga.!
 
I hope hatomwita mtoto wake " Bajaji".

Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
 
Nape ,MAkamba na chama vinahusika vipi katika kujifungua mtu kwenye bajaj? Na mitusi ya nesi???
 
Back
Top Bottom