Pole PakaJimmy

Komred PakaJimmy,

Pole sana tafadhali wanaJF Arusha tujulisheni kama kuna utaratibu wa michango na nk.
 
pole paka jimmy. ungetulisha mapema tungejitoa japo kwa nauli hata hivyo bado hatujachelewa.

wanajamii wa Arusha tunaweza kukutana na paka jimmy atakaporejea na kumfariji jamo kwa maneno na tujione kuwa tuko pamoja.

tafadhali tujulishe utakaporejea.
 
PJ NAKUPA POLE ZANGU NAKUTAKIA SAFARI NJEMA NA POLE SANA kufiwa na mzazi wa mama watoto wako
 
Back
Top Bottom