Yanayojiri mitaa ya Jiji la Dar na vitongoji vyake kuelekea mkutano wa chadema Jangwani leo

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Kila m2 yupo bize na harakati za kutafuta riziki asilimia kubwa ya watu hasa vijana hawana habari juu ya mkutano huo. kwa ufupi raia wapo ktk mishemishe za kila siku za kusaka mahela
 
Kila m2 yupo bize na harakati za kutafuta riziki asilimia kubwa ya watu hasa vijana hawana habari juu ya mkutano huo. kwa ufupi raia wapo ktk mishemishe za kila siku za kusaka mahela

Acha upuuzi wa kudublicate uzi,wewe si umeanzisha uzi kama huu sasa saizi unaanzisha mwingine wa nini kama ule ule?

Acha ujinga.
 
Kila m2 yupo bize na harakati za kutafuta riziki asilimia kubwa ya watu hasa vijana hawana habari juu ya mkutano huo. kwa ufupi raia wapo ktk mishemishe za kila siku za kusaka mahela

Hapo inatafutwa cylinder
 
Kwani mkutano saa ngapi?? Ulitaka saizi asubuhi yoote hii wafanyeje au wafanye nin??
 
Mamluki kama nyie hamfai humu ndani, @Mr. emmy asubuhi yote hii ulitaka vijana hao wafanye nn... au ulitaka wakapange foleni pale jangwani? naona huyu atakuwa amezoea kuhudhuria mipira.... tuwe tunafikiri kabla ya kuanzisha thread. this is a place for great thinkers..
 
Pamoja na kutokuwa na matangazo kama wafanyavyo sisimwewe bado mtaona mafuriko ya wa2 majira ya saa 9.30 jioni
 
mleta mada,kichaa chako chaweza kupata dawa ifikapo mkutano apo mchana...
 
Jamaa yangu kweli sijui nikuelezeje,unafikiri ni Chama Chenu Cha Mafisadi! Mda wa kazi ni mda wa kazi,Bila shaka umezoea harakati za wazee wa kijani wakipita kuanzia asubuhi na magari yao wakigawa vijisenti,wakibembeleza raia/vijana waende kwenye mikutano na kuwasomba raia,Hii bwana asubuhi unasaka riziki saa tisa tunajongea pale jangwani,kwa nauli zetu wenyewe,hakuna kubebwa wala kubembeleza!!CCM Imekula kwaooooo!!Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz!
 
umelipwa kiasi gani kwa hio kazi ya kijinga hivyo? sio rahisi kuzuia watu kwa mtido huo huwezi shindana na matangazo yaliokuwepo kwenye tv na redio we shangaa tu na hio posho yako kula acha kupapatika kashangae clouds wanautangaza sana mkutano wa leo
sisi tupo kazini tukitoka tu akili ni jangwani baada ya msosi magwanda nshapiga pasi toka jana jioni hapa kazini kwetu wote tutaenda kasoro wagonjwa tu
nakutuma kamuulize jk mbona wao hawafanyi mikutano kuwaeleza wananchi maisha bora yamefanikiwaje?
 
Acha kuweweseka, tupo wengi tunasubiri muda ufike tuende pale.... Hatungoji kufatwa na magari ili kwenda pale kama ilivyo kawaida yenu!!
 
Kila m2 yupo bize na harakati za kutafuta riziki asilimia kubwa ya watu hasa vijana hawana habari juu ya mkutano huo. kwa ufupi raia wapo ktk mishemishe za kila siku za kusaka mahela

akili za kipimbiiiiii shwain mkubwa weeee
 
Tatizo la wafuasi wa chadema ni kupaniki kila dakika hata bila kutafakari. Uzi unahusu yanayojiri katika mitaa ya jiji la Dar na vitongoji vyake na sio mahudhurio ya mkutano tayari mshatokwa na povu na bado sasa hivi saa tano kasoro bado bilabila. Cha kufanya wewe tupia hapa kinachojiri kitaa chako
 
Mamluki kama nyie hamfai humu ndani, @Mr. emmy asubuhi yote hii ulitaka vijana hao wafanye nn... au ulitaka wakapange foleni pale jangwani? naona huyu atakuwa amezoea kuhudhuria mipira.... tuwe tunafikiri kabla ya kuanzisha thread. this is a place for great thinkers..

Dr.Mkumbo amesema kwenye kila sehem kuna watu wanabalehe so jamaa ni balehe wa jamii forums
 
Kwani mkutano saa ngapi?? Ulitaka saizi asubuhi yoote hii wafanyeje au wafanye nin??

amezoea kile chama chao muda huu tayari maroli yamepaki kuwasubiri kuwapakia kwenda kwenye mkutano....hahaa CCM bana yaani roho inawauma kweli leo..yaani wanatama IGP asema sababu za kiintelijensia zinaonyesha al shabab watashambulia mkutano so mkutano ufutwee.... hahaaaaa poleni CCM vumilieni mtazoea tu hali hii
 
Back
Top Bottom