hivi kati ya bara na visiwani nani anayemuhitaji zaidi mwenzie?

Nilufer

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,302
12,756
wana jf mimi huwa najiuliza hili swali naomba ufafanuzi. hivi kati ya zenji na bara nani anayenufaika na huu muungano na ni kwanini?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom