SMZ kulipa garama zote za uharibifu wa makanisa

Bangoo

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
5,597
1,005
Serikali ya mapinduzi zanzibar imesema italipa garama zote za matengenezo ya makanisa yalioharibiwa.

Swali la kujiuliza kama kanisa la kwanza lilichomwa juzi, je serikali ilishindwaje kuweka ulinzi mpaka jana wakachoma tena makanisa mawili? Hii serikali inafanya upendeleo ndiyo maana wakristo zanzibar wanaharibiwa mali zao serikali inakaa kimya haichukui hatua.

Mfano vibanda vya watanganyika vilichomwa wakaa kimya!.

Wakachoma mabaa mengi tu,serikali ikakaa kimya hakuna hatua zilizochukuliwa.

Sisi watu wa bara hasa wa KRISTO tunasikitishwa sana na uonevu huo unaotokea huko zanzibar.

Kama watu wanafika mahali wanachoma makanisa laana hii haitawaacha salama!

Bangoo. Rimoy
box 1212
Arusha Tanzania.
 
Kwanini Serikali iwalipie Uamsho kwani wamesema hawana pesa??
 
Ninapinga hilo. "Aliyevunja alipe."
Hawapaswi kutumia kodi za wavuja jasho wanaoishi kwa shida ili kulipia gharama zilizosababishwa na wahuni.
 
Wakati wanchoma Mabaa mmekaa kimya wameanza makanisa wakimaliza mashule then mahakama mambo huwa yanaanza polepole!!!
 
Hii ina maanisha wameshindwa kuwakamata wahalifu au ni kujikosha tu?
 
Hivi jeshi la polisi si ni moja nchi hii? Ile intelijensia ya mwema ililala? Inakuwaje kasehemu kadogo kama unguja watu wachome moto na wapotee wote bila kukamatwa?!
 
Serikali ya mapinduzi zanzibar imesema italipa garama zote za matengenezo ya makanisa yalioharibiwa.

Swali la kujiuliza kama kanisa la kwanza lilichomwa juzi, je serikali ilishindwaje kuweka ulinzi mpaka jana wakachoma tena makanisa mawili? Hii serikali inafanya upendeleo ndiyo maana wakristo zanzibar wanaharibiwa mali zao serikali inakaa kimya haichukui hatua.

Mfano vibanda vya watanganyika vilichomwa wakaa kimya!.

Wakachoma mabaa mengi tu,serikali ikakaa kimya hakuna hatua zilizochukuliwa.

Sisi watu wa bara hasa wa KRISTO tunasikitishwa sana na uonevu huo unaotokea huko zanzibar.

Kama watu wanafika mahali wanachoma makanisa laana hii haitawaacha salama!

Bangoo. Rimoy
box 1212
Arusha Tanzania.
Kwa hicho hao waislamu wa ZNZ walitutufanyia wakristo NAPINGANA VIKALI KANISA KUPOKEA HUO MSAADA WAO,hatuna haja ya pesa,Kwa hiyo walichoma ili watulipe.
Siasa zote zimeanzia msikitini na mipango yote msikitini ni kiongozi gani asiyeenda msikitini?na waliokamatwa ni maimamu,hatuitaji pesa ya smz tutajenga wenyewe.
 
Hiyo serikali kweli ni ya wala urojo, makanisa yanachomwa wanasema watalipa fidia sasa hiyo nio solution?
 
Mbona waliochoma ni wao wenyewe.Kalagabaho.
Za kuambiwa changanya na zako. Nakumbuka maneno ya Mzee wetu Marehemu Shaaban Robert - Neno huzaa neno, neno likakua na kukua hadi likamshinda aliyelizaa.

Kwa hivyo, hata kama UAMSHO hawakuchoma, lakini kauli zao za chuki dhidi ya Wakristo, vitendo vya vurugu na kutoweza kuwadhibiti wafuasi wao zimewasaliti wenyewe na hawana pa kutokea.
 
Serikali ya mapinduzi zanzibar imesema italipa garama zote za matengenezo ya makanisa yalioharibiwa.

Swali la kujiuliza kama kanisa la kwanza lilichomwa juzi, je serikali ilishindwaje kuweka ulinzi mpaka jana wakachoma tena makanisa mawili? Hii serikali inafanya upendeleo ndiyo maana wakristo zanzibar wanaharibiwa mali zao serikali inakaa kimya haichukui hatua.

Mfano vibanda vya watanganyika vilichomwa wakaa kimya!.

Wakachoma mabaa mengi tu,serikali ikakaa kimya hakuna hatua zilizochukuliwa.

Sisi watu wa bara hasa wa KRISTO tunasikitishwa sana na uonevu huo unaotokea huko zanzibar.

Kama watu wanafika mahali wanachoma makanisa laana hii haitawaacha salama!

Bangoo. Rimoy
box 1212
Arusha Tanzania.
nyie mnaoojiita uamsho,hamjui mnayepigana nae...you are fighting a mighty and consuming God!! May God have mercy on you because if he revenges on you,none will survive...
You think you are fighting a litle assembly of people,nah!
 
Back
Top Bottom