'afya ya prof Maji Marefu yatengemaa' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

'afya ya prof Maji Marefu yatengemaa'

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, May 29, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Katibu wa Bunge Dr Kashilila amesema Afya ya mbunge wa Korogwe vijijini mh.Stephen Ngonyani ,maarufu kama Profesa Majimarefu inazidi kutengemaa na kuanzia sasa wakat wowote atarud nyumban,,,,Dr Kashilila amesema kwamba Maji marefu ameshapona na hivyo ataruhusiwa muda si mrefu.
  Sosi:Nipashe
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mi huwa najiuliza mbona sisi tunatibiwa humuhumu na tunapona???na pia sijawah kumsikia kiongoz wa kisiasa awe wa upinzan au chama tawala akipinga kupelekwa India kwa Matibabu ili aoneshe kuwa ana uchungu na watanganyika
   
Loading...