Wakili maarufu wa serikali ametutoka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakili maarufu wa serikali ametutoka

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mjanja1, May 28, 2012.

 1. m

  mjanja1 Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: May 11, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakili maaruf sana wa serikali marehemu Bonifase Stanslaus amefaliki ghafla jana. Habari kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema alipatwa na mshituko ghafla na kufariki mara baada ya kutoka arusha kikazi.
  wakili Bon alikuwa ni KICHWA cha AG Chambers na naibu DPP. Yeye ndo wakil wa kesi zote kubwa za jinai ikiwa ni pamoja na ya jery Mulo.jitu.kina mramba. Kina maranda. Za epa zote na za BOT.
  pamoja na utumishi wake amekufa akiwa na maisha ya kawaida na yaweza onekana duni kwa wanasheria wa hadhi na uwezo wake. Ikumbukwe jamaa alikuwa ni mrevi na mvuta sigara continously. May be cos ya frustuations! Nilichojifunza kwa proffessional vjana pamoja na wito we need to balance kazi na maisha ya kawaida.
  may God Rest his Soul in PEACE. POLEN NDUGU NA JAMAA. POLENI SNA AG CHAMBERS MSIOGOPE WALA KURUDI NYUMA!
   
 2. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,208
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  ahsante kwa wasifu wa marehemu.
   
 3. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  nadhani wewe ndio utakuwa mlevi continuosly kwani ulivoandika ni sawa na mlevi
  pili hii habari ilitoka tangu juzi ungesoma post za wenzio na kuchangia
  lkn kwa ulevi wako umekurupuka. wewe ni nani hadi umhukumu marehemu?
  ikumbukwe alikuwa safari na aliporudi hakupunzika alifanya kazi zake tena
  ni mtu aliejituma kwa moyo wote, huo ulvei unazungumzia umeutoa wapi?
  acha hizo punguza ulevi na kukurupuka
   
 4. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,222
  Likes Received: 8,297
  Trophy Points: 280
  Lokissa hawa member wanakurupuka kweli kwel
   
 5. G

  Gagso Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yan kweli kabsa ya huyu jamaa amekurupuka kabsa.mi nahis huyu jamaa n m2 wa kushiiii?
   
Loading...