Dhamira ya gazeti la tanzania daima ni nin hasa katika hili nan kawatuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dhamira ya gazeti la tanzania daima ni nin hasa katika hili nan kawatuma

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chillipo, May 29, 2012.

 1. Chillipo

  Chillipo Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Katika Gazeti la Jana la Tanzania Daima lilikuwa na maelezo kuhusu vurugu zilizotokea huko Zanzibar pamoja na picha mchanganyiko wa vurugu hizo lakin cha kustua na kuhuzunisha ni kufanya mambo kinyume na taaluma ya uandishi wa habari kwa kuweka picha ambayo haikutokea huko zanzibar je mnafanya kazi kwa maslahi ya nani? nini mnachofaidika nacho kwan picha hiyo ilipigwa mwaka juzi huko Morogoro na mwenye picha mwenyewe jana amejitokeza redion na kukiri kwa ulimi wake kuwa hajawahi kufika Zanzibar hata siku moja.Picha yenyewe imepewe namba mbili kijana kashika kitambaa ukurasa wa kwanza swali langu mnafanya haya mambo kwa kutumwa na nani nyuma yenu mbona kila siku nyie pekee yenu tu ndio mnaopata malalamiko na kesi kuhusu habari zenu.KIBANDA nilikuwa nakuamini sana ila ninaanza kupoteza iman na uadilifu wako kabisa.Igeni mfano wa Gazeti la Mwananchi, Raia Mwema etc
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  wewe ni mgeni hapa jamvini?
   
 3. Y

  Yetuwote Senior Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 194
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hiyo picha ilionekana hata katika magazeti mengine kama nipashe n.k. Uliyasoma yote?
   
 4. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli kuna mtanzania anayesoma magazeti hajui TANZANIA DAIMA linafanyakazi kwa maslahi ya nani? Mbona wasomaji wa gazeti hili wanajulikana. Kma unataka kujua nchi inakwendaje, dunia inakwendaje, tuko wapi , tunakwenda wapi, tunapwswa kufanya nini, usitegemee mambo hayo utayakuta kwenye gazeti la Tanzania Daima na Mwanahalisi. Unaweza kulinunua gazeti hili ukathamani ulirudishe ulikolinunua. Mimi nashindwa kuelewa, hivi ni kweli kwamba kila mtanzania anachofurahia kwenye vyombo vya habari ni siasa? elimu, technolojia, afya, mahusiano, uchumi havina nafasi kwa Mtanzania?
   
 5. Mwanyasi

  Mwanyasi JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 5,768
  Likes Received: 1,898
  Trophy Points: 280
  Labda tuanze na wewe,
  wewe umetumwa na nani?
  Kwenye magazeti mengine hujaiona?
  wewe taaluma ya habari umesomea?
   
 6. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nashauri tusipoteze muda kushughulikia matatizo ya magazeti yetu, pamoja na mapungufu katika uandishi wetu ila ni kwelimatatizo makubwa yapo Zanzibar. Tutumie nguvu zetu zaidi kuyatatua matatizo yaliyopo Zanzibar hivisassa.
   
 7. E

  ESAM JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Ndugu acha chuki na Tanzania Daima, gazeti la nipashe lilikuwa na picha hiyo kubwa mbona hulisemi? Kama una hoja toa hoja bila kuegemea upande wowote
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,202
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Katumwa na Nape sasa nenda kachukue ujira wako kwa kupost hii thread
   
 9. Chillipo

  Chillipo Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukweli utabaki kuwa ukweli
   
 10. B

  Benaire JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mwananchi picha yao ya mkutano wa CHADEMA jangwani uliiona?
   
 11. B

  Benaire JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,947
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Once you see the gap,bridge that gap.....kwa kuwa umegundua udhaifu wa magazeti ya Tanzania anzisha la kwako....hapo utaona if your idea works or not,sio kulaumu tu wenzio....chukua hatua kama SHIGONGO.
   
 12. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mimi ndo maana nasomaga annuur na uhuru tu hayo mengine sina habari nayo.
  kwa redio mimi ni imaan na uhuru fm.
   
 13. GIB

  GIB JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poleni sana . tanzania daima ni gazeti bomba sana. tangu nianze kulisoma sijawahi kosa nakala hata moja. mbona hamzungumzii magazeti mengine eg. mzalendo, tazama tanzania , uhuru na mengineo ambayo yanaendeshwa kwa ruzuku ya kodi zetu kisha habari yao ni za sisieeem kapanda ssem kashuka.
   
 14. Chillipo

  Chillipo Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nan aliyekumbia Kuwa Mwenyeji wa eneo ndio kujua kila kilichomo sehemu husika ukweli utabaki kuwa ukweli Edson sina nia mbaya na Tanzania Daima ila natoa kilichomo bila kujali ni mwenyeji au mgeni kana nan hajui kuwa Wanahabari wetu wanatabia za kushea habari so kama ni gabbage zote zinakuwa Gabbage tu
   
 15. DEMBA

  DEMBA JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 7,295
  Likes Received: 3,135
  Trophy Points: 280
  ndugu c lazima gazet moja lihusihe nyanja zote hizo hata gazet linaweza likahusu siasa 2 na inakubalika ndio maana yanasajiliwa. mbona husemi kuhusu dimba, bingwa nk kuandika habari za michezo 2? mbona hata vituo vya redio na tv ni hvo hvo kuna tv za habari kama vile sky ,bbc nk. na kuna tv za burudani hzo ni mziki, filam nk. ww wa wapi hata huwez kutambua hili kama unataka habari za mahusiano kuna majarida yanayohusika na mambo hayo.
   
Loading...