Wa zenj mtuweke wazi ndugu zetu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wa zenj mtuweke wazi ndugu zetu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Userne, May 29, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. U

  Userne JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakubwa! Poleni na mishemishe ya kuwinda riziki viwanjani! Manake kila kukicha afadhali ya jana!
  Kwa sasa kiwanja cha riziki Zenj wamebana, sijuitakuwaje, na Tg wakiweka contena?

  Zenj Zenj Zenj! Tuwekeni wazi tatizo lenu halieleweki Wandugu!

  Tatizo kama ni Imani yenu ya Kiislamu, na Tamaduni zenu! Hapo tatizo ni nyinyi wenyewe mmechoka kufuata maelekezo na miiko ya Imani na tamaduni zenu! Ona Wamasai wee vaa suti, hawana muda na wewe!

  Tatizo kama ni Muungano!
  Mh Lissu aliwapa ufumbuzi mkamzomea?
  Muungano kama ni tatizo! Labda mngewachukulia hatua wahusika, kina Dr Bilali, Dr Mwinyi, Mh Nahodha, Wabunge wenu,.....! Ndio mti ulioingia kwenye shoka sasa msitu waisha! hapo tungejua tatizo lenu ni Muungano!

  Tatizo kama njaa!
  Woote wanateseka, waTg, waZenj, Waislamu, Wakristo, Wapagani....!

  Tatizo ni nini Ndugu zetu Wazenj! mtuweke wazi tuendelee na mishemishe na kula tembele kwa utulivu! Kulikoni kumuona Pazi ni mchawi na kuwekeana Pin!

  Waswahili wanasema mficha kigonjwa kifo kitamuumbua!
   
 2. T

  Tewe JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 183
  Trophy Points: 60
  Tatizo lao ni uwezo mdogo wa kupambanua mambo na itikadi za kuiga
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  ha ha aa..hawa wana wamekasirika inawezekana hata wao wenyewe hawajui walitakalo
   
 4. U

  Userne JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana Mkubwa!
  manake kuna ile ya kutoa khutba, ya kuwajaza jazba kwenda kupigana bila ya kufikiri!
   
 5. U

  Userne JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 895
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli uwezekano huo upo Mkubwa! maana kama mimi sioni sababu! Labda wenyewe waje waseme ili haya maradhi yatibiwe!
   
 6. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hawana elimu ndio maana wanafanya mambo ya jazba kama wanataka talaka waseme kistarabu tutawataliki tena tatu kwa mpigo sio wanafanya vitimbi kama wajinga. Sijui wanaringia nini umaskini umewajaa hawana ustaarabu wapuuzi hawa. Mimi suioni kama ndugu zangu kabisa
   
 7. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tatizo la Wazenj ni Makanisa!!
   
 8. s

  salisalum JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Mwal alisema, hakuna topic rahisi kufundisha kama CHUKI! Na hasa kumwambia mtu kwamba, 'wajua shida zako yekhe ni kwa sababu ya yule jamaa' twende tumpige. Basi utaona watu wakimbia mbio kwenda kumpiga yule bwana. Lakini ukimwambia shida zako ni kwa sababu ya uvivu wako wala hatakuelewa.

  Maimam wetu wasikatae, wasikane kwamba wamefundisha chuki kwa hawa vijana. Muungano na makanisa havina uhusiano hata kidogo. Pale zanzibar kuna kanisa la Anglican la siku nyingi sana. Jaji Augustine Ramadhani ni Mzanzibari Mu-Anglican. Ama waseme hawataki muungano au hawataki ukristo. La kwanza walie tu, never ever shall we let Zanzibar go. Kulikuwa na mlango mmoja wa kuingilia kwenye muungano, hakuna wa kutokea. Ukristo ni imani ya watu wana haki ya kupractice imani yao katika Jamhuri ya Muungano popote. Taifa letu halina dini na watu wote wote ni sawa. Hakuna selikali yoyote hata ile ndogo ya Zanzibar itayokubali kunyanyasa au kubagua watu wengine. Hatimaye sheria itachukua mkondo wako and the papetrators watajuta kuzaliwa.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...