Direct YUAN-YEN Business-no more USD

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
KUANZIA IJUMAA YA TAREHE 1/06/2012 CHINA & JAPAN HAWATATUMIA TENA USD KWA BIASHARA KTK NCHI ZAO

hii inamaana USD haina nafasi tena kwa nchi hizi mbili
 
Hii ni hatua nzuri,utumiaji wa USD umezigharimu nchi nyingi sana ukizingatia uchumi wa marekani upo matatani .
 
mimi nilidhani watanzania hatutatumia tena dollar.....hasa kwenye utalii.....
 
KUANZIA IJUMAA YA TAREHE 1/06/2012 CHINA & JAPAN HAWATATUMIA TENA USD KWA BIASHARA KTK NCHI ZAO

hii inamaana USD haina nafasi tena kwa nchi hizi mbili

.
Kama hili likitokea basi walimwengu tujiandae kuitakia marekani R.I.P. Kama ilivyowahi kutokea kwa ataifa ya Iraq, Rumi(turuki), Italia(roman), uingereza, urusi nk.
Yatakuwa yanatimia maandiko ya Daniei 11.
.
 
Preta Japan na China wameanza nasi tunapaswa kuifanya hivyo. Kuna kipindi matumizi ya dola TRA walianza kuangalia kwa jicho la tatu ila naona walipata kikwazo fulani. hii ni changamoto kwa marekani
mimi nilidhani watanzania hatutatumia tena dollar.....hasa kwenye utalii.....
 
Last edited by a moderator:
Now i can see the impact of imposing sanction on IRAN especially on OIL will backfire US themselves....Nilikua nafatilia documentary moja ikionesha jinsi IRAN baada ya kuwekewa vikwazo nao wakaweka vikwazo vya kutokuuza mafuta yao kwa US DOLLAS wanauchumi wakasema hii itakua ni pigo kubwa kwa uchumi wa US...kilichofuatia IRAN ikasema ita trade na CHINA kwa YUAN tu na Ita trade na INDIA kwa RUPEE and no more PETRO-DOLLAS..Naona sasa na CHINA-JAPAN wataondokana na utumwa huu kwani US economy ita drop gradually
 
Back
Top Bottom